kuna mtu nimemsikia akisema wale waliopo kwenye mashindano ya kucheza uchi ili wapewe milioni kumi eti ni wanafunzi wa vyuo. Ivi wazazi wao huwa wanajisikiaje wanapoona eti mwanao anashindania hela kwa kuvua nguo zote na kuchezacheza mbele ya mibaba.
ivi kwanini hao wanaharakati wa wanawake huwa hawathubutu kuwashitaki waendesha mashindano ya kumdharilisha mwanamke? NI AIBU KUBWA SANA KWA TGNP, TAMWA.
ivi kwanini hao wanaharakati wa wanawake huwa hawathubutu kuwashitaki waendesha mashindano ya kumdharilisha mwanamke? NI AIBU KUBWA SANA KWA TGNP, TAMWA.