CBE WAMEONYESHA NJIA KWA VITENDO,UDSM,IFM ,ST.JOSEPH CoET,DIT etc KAZI KWENU

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
[h=2]CBE WAMEONYESHA NJIA KWA VITENDO,UDSM,IFM ,ST.JOSEPH CoET,DIT etc KAZI KWENU.[/h]
Pongezi za dhati kwa uongozi wa chuo cha CBE kwa kuonyesha njia kwa vitendo juu ya mavaazi ya wanafunzi vyuooni yanahamasisha ngono zaidi kuliko taaluma.Nadhani WIZARA husika isimamie kwa dhati juu ya Dressing Code vyuooni ili kunusuru ubora wa taalumu za wahitimu.Just a short research and analysis,I have realized most of graduates are not competent to deliver their expertise based on professionalism.Mostly,they are affected and addicted to social networks like FB,BBM,twitter etc.Kama vijana hawa hawatabadilika kwa dhati basi ajira kwao ni ndoto za alinacha. Hayo mavaazi ni ya DISCO,BEACH na CLUB ambako watu wana make fun.Kwa nini wanavaa Darasani? Pia VYAMA vya SIASA visaidiane na vyuo kutoa elimu kwa hawa mapompompo wanaoiga Western Culture bila kuzingatia maadili ya MUAFRIKA .........​
 
Nashangaa vyuo vinavyomilikiwa na makanisa kuwa hovyo kabisa katika suala la mavazi wakati vyuo vya kiislamu vinadumisha ile Mungu anapenda!!!
St.John,st.Augustine,TUMAINI onesheni mfano wa ukristo,ukristo usitukanwe kwa ajili yenu!! Pongezi UDOM faculty ya EDUCATION
 
CBE WAMEONYESHA NJIA KWA VITENDO,UDSM,IFM ,ST.JOSEPH CoET,DIT etc KAZI KWENU.

Pongezi za dhati kwa uongozi wa chuo cha CBE kwa kuonyesha njia kwa vitendo juu ya mavaazi ya wanafunzi vyuooni yanahamasisha ngono zaidi kuliko taaluma.Nadhani WIZARA husika isimamie kwa dhati juu ya Dressing Code vyuooni ili kunusuru ubora wa taalumu za wahitimu.Just a short research and analysis,I have realized most of graduates are not competent to deliver their expertise based on professionalism.Mostly,they are affected and addicted to social networks like FB,BBM,twitter etc.Kama vijana hawa hawatabadilika kwa dhati basi ajira kwao ni ndoto za alinacha. Hayo mavaazi ni ya DISCO,BEACH na CLUB ambako watu wana make fun.Kwa nini wanavaa Darasani? Pia VYAMA vya SIASA visaidiane na vyuo kutoa elimu kwa hawa mapompompo wanaoiga Western Culture bila kuzingatia maadili ya MUAFRIKA .........​
Mdau umenikuna sana kwa thread yako, ni jana tu kuna mdada msomi kutoka MUCOBS ya moshi aliniomba tuchat , kilichonisikitisha hakutaka tuchat vitu economical katika msitakabari wa maisha ya nchi yetu ,bali akaishia kulalamika nambore sababu alipenda tuchat vitu social ;ilinishangaza sana.Nilitegemea tuchat vitu vya kitalaaluma hasa kujenga maisha yetu na taifa kwa ujumla.Ni kweli kama hakutawekwa code of conduct , natumai vyeti vitakuwa ndo taalama na si ujuzi .maake tutandelea kuzalisha wanataaluma watupu kiujuzi bali wenye vyeti.
 
wewe unaiweka St. Joseph hapa unaijua dress code ya St. Joseph wewe?
Usipoteze muda wako kubishana na watu wa Jihad.......hao ndio wafuasi wa Mahdi

pic.php
 
Nini asili ya Mavazi ya Mtanzania ambayo tunawalazimisha wanafunzi wayavae? Waarabu walikuja kwetu na biashara ya utumwa na kutuachia dini ya kiislamu na mazazi ya asili ya Kiarabu.Wuzungu nao hali kadhalika walikuja na biashara ya utumwa na kutuachia dini ya kikritu na mavazi yao ya asili.je hayo ndio mavazi ya asili ya Mtazania? Tujiulize kabla ya kuja kwa hao wageni tulikuwa tulikawa tunavaaje?Tusiongozwe na imani za dini zetu kutaka kila mtu aamini sawa na wewe unavyoamini kwenye mavazi ya dini yako kiasi kwamba Mkuu wa chuo akiwa muilamu basi asadiki kuwa wakivaa mavazi ya kiarabu basi ndio mavazi ya heshima au akiwa Mkisto basi wakivaa mavazi yalioletwa na wamisionari ndio mavazi ya heshima ni sahihi?Chuo kikuuu ni mtu mzima.Kwanini Mungu akumuua Ibilisi na baadaye akamwacha huru atafute wafuasi duniani?alijua kuwa tayari amekwishampa binadamu uwezo wa kuchagua jema na mabaya na kwa vyovyote kuna watakaoenda kwa Mungu na Watakaoenda kwa shetani.Tusubiri mpaka Tanzania tutunge sheria ianayoeliza zazi la heshima ni lipi na lisilokuwa la heshima ni lipi au vazi asili ya Mtazania ni lipi.Otherwise kwa sasa wanachokifanya baadhi ya vyuo na shule za taasisi za kidini zinnazidahili watu wenye itikadi tofauti ni interfearance of human right
 
Kwa chuo ka CBE, DIT, SUA kwa mazingira yake ni virahisi kidogo kuzuia, manake unaweza kusimama magetini na kuangalia wote wanaopita na kuzuia waliovaa sivyo tofauti na mazingira ka UDSM,UDOM nk
 
Mdau umenikuna sana kwa thread yako, ni jana tu kuna mdada msomi kutoka MUCOBS ya moshi aliniomba tuchat , kilichonisikitisha hakutaka tuchat vitu economical katika msitakabari wa maisha ya nchi yetu ,bali akaishia kulalamika nambore sababu alipenda tuchat vitu social ;ilinishangaza sana.Nilitegemea tuchat vitu vya kitalaaluma hasa kujenga maisha yetu na taifa kwa ujumla.Ni kweli kama hakutawekwa code of conduct , natumai vyeti vitakuwa ndo taalama na si ujuzi .maake tutandelea kuzalisha wanataaluma watupu kiujuzi bali wenye vyeti.
Loosen-up a bit dude, mtu akikwambia mchat basi wewe ndio unataka umwage utirio wa darasani? inaonekana huna social skills.
 
Policy on Dressing

St. Joseph college emphasize of the total formation of its students. As highlighted in the mission of the college, the management focus on the Discipline and building Values. Keeping this in mind and also the fact that we are in the process of molding the leaders of tomorrow, the safety of the students in Lab and workshops where they work with machinery and chemicals, the college designs its dress code. The college encourages a neat and decent dress along with the uniform and special dress for workshop and labs
Special Coats Common for both Boys and Girls

Computer Lab - White Overcoats
Chemistry Lab - White Overcoats
Physics Lab - White Overcoats
Workshop - Blue Overcoats
Dress Code: Girls

1. Uniform Shirts and Trousers on all days stipulated.
2. Neat , Decent and well covered formals and semi-formals on specified days.
a. Skirts which flow well below knees.
b. Jeans pants without any holes.
c. T-Shirts- with Collar and round neck ( no V neck are allowed) .
d. T-shirts, Shirts or tops with full or half Sleeve
d. Lab coats are compulsory
3. Shoes on all working days are compulsory .
4. High heels, stilettos are not allowed in workshops and labs.
5. Lab coats are compulsory

Dress Code: Boys

1. Uniform Shirts and Trousers on all days stipulated.
2. Neat , Decent and well covered formals and semi-formals on specified days.
a. No shorts or Half Trousers of any form are permitted .
b. Jeans pants without any holes.
c. T-Shirts- with Collar and round neck .
d. T-shirts or Shirts with full or half Sleeve
e.Unwanted, Political, Religious Inviting, Provocation, Obscure, Captions and photos or designs on the dress are not allowed .
3. Shoes on all working days are compulsory .
4. Clean shave and well groomed hair is a must. .
5. T-shirts and Shirts should tuck in their pants
 
Back
Top Bottom