CBE WAMEONYESHA NJIA KWA VITENDO,UDSM,IFM ,ST.JOSEPH CoET,DIT etc KAZI KWENU.

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Pongezi za dhati kwa uongozi wa chuo cha CBE kwa kuonyesha njia kwa vitendo juu ya mavaazi ya wanafunzi vyuooni yanahamasisha ngono zaidi kuliko taaluma.Nadhani WIZARA husika isimamie kwa dhati juu ya Dressing Code vyuooni ili kunusuru ubora wa taalumu za wahitimu.Just a short research and analysis,I have realized most of graduates are not competent to deliver their expertise based on professionalism.Mostly,they are affected and addicted to social networks like FB,BBM,twitter etc.Kama vijana hawa hawatabadilika kwa dhati basi ajira kwao ni ndoto za alinacha. Hayo mavaazi ni ya DISCO,BEACH na CLUB ambako watu wana make fun.Kwa nini wanavaa Darasani? Pia VYAMA vya SIASA visaidiane na vyuo kutoa elimu kwa hawa mapompompo wanaoiga Western Culture bila kuzingatia maadili ya MUAFRIKA .........
 
nashauri hata mtaani zidhibitiwe kwa sababu siku hizi wanawake asilimia 20 wanavaa taiti kama nguo ya nje wakati walikuwa wanavaa kama nguo ya ndani!
 
Hili lilifanyika pale Ruaha University Irnga walinzi ndio walikuwa wasimamiaji wakuu wa hili zoezi e bana ni balaa wadada walinyooka hata leo dada mmoja katimuliwa kisa kimin cha jins hii inaleta heshima sana yaani chuo kinapendeza wakatoliki wa hapa RUCO ni kiboko
 
Institute of Social Work(I.S.W-Dsm) wao wanasemaje!!! Kwa hakika pale ndo kiboko.
 
Kidogo kidogo itasambaa katika vyuo vingine...mpaka wakati mwingine nikipishana na wadada hasa wanafunzi wa vyuo najisikia aibu utadhani ni mimi nimevaa.
 
Hivi vinguo vipo sana ila kuna chuo km SUA asilimia kuwa hawavai nguo za ajbu na wale wenye hizo nguo wameshindwa kuzivaa maana wanakuwa km icon ya umalaya au kujiuza, lakini je nguo fupi ni umalaya? licha ya kushawishi ngono kwa wale waliopembeni ila umalaya ni hulka ya mtu.Ki upande fulani km asilimia 40 itasaidia watu wasipate mihemko.
 
nashauri hata mtaani zidhibitiwe kwa sababu siku hizi wanawake asilimia 20 wanavaa taiti kama nguo ya nje wakati walikuwa wanavaa kama nguo ya ndani!

Hapana bana. Kitaani wawaache watu wavae wapendavyo.
 
Naomba IFM nao waige CBE maana pale pana laana kabisa, kipindi nasoma pale utakuta binti kavaa blauzi ama top maziwa yako nje ana vyaa kimini anakaa uchi na wakati mwnine hawavai chupi yaani nikichefuchefu ama anavaa top nyepesi bila brazia ndani chuchu zote zinaonekana anamfuata mwalimu ofisini amsaidie, hii ya kukaa ****** njee ni jambo la kawaida ifm tena kwa siku za jmosi hasa vile vipindi vya jioni unaweza zimia
 
Institute of Social Work(I.S.W-Dsm) wao wanasemaje!!! Kwa hakika pale ndo kiboko.

mkuu kile ni chuo cha nyumba ndogo. Mavazi wanayovaa hapo hasa watoto wa diploma na certificate ukikutana nae usiku katoka prepo huwezi kumtofautisha na changudoa wa pale ambiane au hongera.
 
Safi sana hatua kumi zinaanza na hatua moja. Mwanzo mzuri na kuona ni kuamini nadhani vyuo vingine vitaiga mfano huo. Wengine wataponda lakini ni dhahiri wengi wanapata wakati mgumu unapokutana na uvaaji wa ajabu.
 
Good! kama kweli wataweza kudhibiti hadi mwisho isiwe ni mwezi mmoja mambo yanarudi pale pale! hii itarudisha heshima ya mwanamke kama msomi na sio mwanamke ni malaya, anajiuza kwa kujitangaza kwa nguo zao fupi,wanachochea ngono
 
Mimi siamini sana katika kudhibiti mavazi ambayo watu wanayavaa. Inawezekana kabisa hao wasichana wa CBE wamezidisha mno katika kufupisha hizo nguo. Mnaposema mavazi siyo ya kiafrika sijui ni Afrika gani mnayozungumzia. Nchi nyingine za Kiafrika ni ruhusa kuvaaa unachotaka.

Mwaka 69 Rashid Kawawa akisaidiwa na akina Moses Nnauye waliwashukia vijana wote wanovaa pekos (boogaloo), nguo zinazobana na viatu vya Rise On(Raizon). Vijana wa CCM walikuwa wanatembea na chupa ya fanta au bia. Kama chupa haitapenya kirahisi kati ya suruali na mwili wako basi ulikuwa matatani, pamoja na mengine mengi.

Kwa wakati mwingine naona kama ni mwendelezo wa jamii ya wanaume wa Kitanzania kuwanyanyasa akina dada - "ala Punch".
 
Hapana bana. Kitaani wawaache watu wavae wapendavyo.


Naipinga hiyo mkuu. Naomba bunge liingize hii sheri kwenye National Code of Conduct iaplai kwa jinsia zote. Anayesikia raha kuwaona wako nusu uchi aende Jolly's usiku. That will be right place, right time; lakini siyo kwenye daladala, maofisini na sokoni!

BIG CHEER TO CBE ADMIN!
 
Institute of Social Work(I.S.W-Dsm) wao wanasemaje!!! Kwa hakika pale ndo kiboko.

Pale sasa wapo strict sana kwa mavazi. Students Administrator akimkuta msichana amevaa ovyo inakula kwa msichana huyo.
 
anafaa kupewa tuzo huyo makamu mkuu wa chuo. Kwa mzazi yeyote ambaye anaishi hapa Dar hakika ataunga mkono hatua hizi. Ebu na vyuo vingine fanyeni hivo hivo. hatuna sababu ya kukumbatia mambo ya kishetani ya kutembea uchi.
 
Mwaka 69 Rashid Kawawa akisaidana..........
Vijana wa CCM walikuwa wanatembea na chupa ya fanta au bia. Kama chupa haitapenya kirahisi .........

Off point! Kwanza CCM imezaliwa 2/5/1977 so wakati wa uwaziri mkuu wa Rashidi Mfaume Kawawa haikuwepo. Point wakati huo ilikuwa ni wanawake kuvaa nguo fupi mno na wanaume kuvaa sarawili za kubana mno (mdomo wa chupa). Wote walikuwa harrased equally. Ilibidi Mwalimu aingilie kati kwa hoja kwamba "Rashidi, waacheni kwani hiyo ni mitindo ya wakati tu(fashio), itapita"! Nakumbuka ili kumuunga mkono Waziri Mkuu ilibuniwa mitindo ta mishono kwa akina dada/mama inayoitwa "ASANTE KAWAWA" na kwa wanaume ndo zikaja hizo Boogaloo!

But this is a different situation! Kina dada wanavaa kinamna ambayo inafanya wafanane zaidi na wakati hawana nguo; viblazameni navyo mpaka unajiuliza: hiyo suruali si angeiacha tu nyumbani tujue moja? NO NO NOO!

BIG UP CBE ADMN!
 
Back
Top Bottom