CBE Dodoma wagoma

Wanachuo wanaosoma degree chuo cha cbe dodoma wamegoma kufanya mitihani wakishinikiza mitihani iwe inatungwa hapo hapo chuoni na sio utungwe cbe dar kama ilivyo sasa......
ajabu TBC walifika hapo na hadi sasa habari hii hawajairusha.
 
mbona nackia ht cbe dar wamegoma???
 
Cbe Dar walimu ndio wamegoma, wakidai ongezewa posho ya usimamizi wa mitihani..
 
Duuuuh CBE nadhani mwana CBE atatujuza lakini kwa uzoefu nilionao ni chuo ambacho kina element za kibabaishaji kidogo.
 
Habari nilizozipata, huko Dodoma, wanafunzi wa Bachelor wote wamegoma fanya mitihani ya end of semister.. Kisa imetungiwa CBE dar..

hivi cbe nacho chuo? mi najua Tanzania chuo ni kile nilichosoma paleeee changanyikeni aka mlimani! lol
 
Acheni kuongelea vtu msivyovijua. Sisi tumegoma sababu ikitungwa dar, mademu zetu watashindwa kuvujishiwa na mabuzi yao ambao ni wahadhiri wa cbe dom. Wahadhiri wa dom huwa wanawapa mademu zetu, na sisi tunaponea hapo hapo.
 
crap crap crap
 
Nitawaletea taarifa kamili kuhusu huu mgomo. Sababu za kugoma ni nyingi ila nimezisoma tano. Hiyo ya mtihani ni moja na ni pana sio kama ilivyoelezwa hapa.
 
Tumemaliza sasa hivi mkutano na Cyril Chami (Waziri wa Viwanda na Biashara) na mgomo umekwisha. Kimsingi Waziri amekubaliana na hoja tano kati ya sita zilizotolewa na wanafunzi.
 
Back
Top Bottom