Caps ime lock kwenye laptop

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Wakuu wataalam naomba msaada wenu. Nina laptop ambayo caps zimelock, nikiandika ninakuwa kama nimeweka capitals, kwa hiyo siwezi ku log in na password yangu maana inaandika password na mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo. Naomba msaada hapa jamvini kama kuna ambaye anaweza kunipatia ufumbuzi wa tatizo hili. Natanguliza shukrani.
 
kwa msaada wa haraka haraka fanya hivi... wakati unatype kwenye keyboard ya laptop yako shikilia botton ya SHIFT, ukifanya hivyo uku unaandika kwa mkono mmoja itaandika kwa maandishi madogo..... Nadhani wengine watakuja kukusaidia me ngoja niwahi kwenye Harusi maana nina kiu ya bia sana!
 
Asante Mkuu. Nakutakia harusi njema, I hope kutakuwa na beer za kutosha kupoza kiu!
 
Back
Top Bottom