habari zenu wana jf..
nina laptop yangu aina ya hp 6535b, na nimeinunua used tangu 2012 na ilikuwa safi tu mpaka mwaka huu mwezi wa tano ilipogoma kuwaka mpaka leo hii!
ilianza tatizo hili ghafla tu, ukiiwasha inawaka halafu caps lock na number lock zinakuwa zinablink kwa pamoja mara tano na kioo kikiwa katika hali yake ya kawaida tu (kama imezima)
kwakuwa mimi mwenywe ni mwanafunz wa electronics nd telecom, nilijaribu kulitatua hili tatizo bila mafanikio ikiwemo kuifanyia usafi na kuondoa vumbi, na vyote thavikusaidia kitu!
kama kuna yoyote ambaye amewahi kutatua tatizo hili kwa namna yoyote ile, naomba anihabarishe.
natanguliza shukran zangu za dhati