Canadian dollar vs US dollars.

Salanga

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
364
44
Habari zenu wadau:

Naomba msaada wenu maana niko njiapanda.

Nataka kufungua account katika dollars lakini nimeshindwa kuamua nitumie sarafu ipi kati ya 2 tajwa hapo juu in terms of their stability.

Nawasilsha.
 
Mkuu kama uko TZ fungua akaunti ya USD. Upatikanaji wa CAD ni mgumu na sijuwi ni benki gani wanatoa hiyo service maana benki nyingi za DAR forex akaunti nyingi ni za USD, Euro na GBP. Pamoja na kwamba CAD iko juu kidogo kwa USD kwa sasa Bureau de Change zetu wananunua USD kwa bei kubwa kuliko CAD kwahiyo ni hasara kuwa na CAD kwa TZ. Kwa survey yangu niliyoifanya kwenye benki za TZ I found Exim Bank to be cheaper in maintaining a forex akaunti ukilinganisha na benki zingine.
All the best mkuu.
 
Asante Mkuu.
 
Mimi niliwahi kuwa na account kwenye USD miaka ya 2000 hadi 2005, kipindi hicho dollar ilipungua nguvu na nilipata hasara. Pesa ya kuhakika kama unazo weka kwenye GBP maana hiyo pesa ya mama haiyumbi hata siku moja na kama itayumba basi ni kwa kwenda mbele
 
Hilo nalo neno mkuu.I will work on it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom