Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Sep 1, 2012 #5 yes ofcourse, mbona hata kibisa wanaye kama huyo wanacheza naye, unafikiri msemo wa 'joka la kibisa...' ulianzia wapi?
yes ofcourse, mbona hata kibisa wanaye kama huyo wanacheza naye, unafikiri msemo wa 'joka la kibisa...' ulianzia wapi?
Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Sep 1, 2012 #6 awp said: mmh! huwa sipendi nyoka na jongoo; kaah Click to expand... mjusi je?
Kanyapini JF-Expert Member Jul 25, 2012 295 80 Sep 2, 2012 #7 awp said: mmh! huwa sipendi nyoka na jongoo; kaah Click to expand... Sipendi panya aliyelowana.