Can this end justfy the means?!

Kwa kamshahara kangu, na bili za ulabu nazolipa, hata asachi na kuuza wallet kabisa. Hawezi kujenga bangaloo. Na akijenga lazima kuna searching nyingine anaifanya kwa mtu mwingine!

hata akikusachi kwa miaka mitatu mfululizo?.....
 
no difference!KUIBA NDO KUCHUKUA KISICHO CHAKO!haitajalisha umechukua cha nani!........

may be tuweke swali kama hili....DO WE HAVE LESSER EVILS IN LIFE?if YES,THEN COULD THIS WOMAN HAVE GONE FOR THE LESSER EVIL FOR THE SAKE OF HER FAMILY?

She dindn't steal! No Evil thing on her!
 
lakini ameiba!kuhamisha huwa hakufanyiki kwa mtindo wa kusachiana!........amefanya kitu chema yes/no!?hilo hamna anaejua!kwa mfano huyu mzee angekuwa na uwezo wa kununua nyumba nyingine unadhani huyu mama angeliweka wazi hili swala?

ningekuwa mie nicngeliweka wazi kwa sababu zangu binafc, ningeipangisha na mie nipate kipato kidogo cha kujihudumia na kuwasaidia watoto na familia yangu pale panapokwama....sasa ngoja nikuache ucctize kwamba nimeiba lakini moyo wangu ungeniambia cjaiba chochote na ningemshukuru Mungu kuwa nimefanya jambo la mcngi kuiokoa familia yangu.....cjaiba kabisa na lawama mpe huyo mzee kushindwa kuihudumia familia yake ipasavyo na kusababsha mie kufanya niclolitegemea kwa kuinusuru familia...
 
kwa hiyo unaonaje mkuu nguli?!can we justfy theft IN JESUS NAME?

No! But to my human perception, there is an exception in some cases/sin before our loving God. soldier's wife did with good spirit bearing in mind the fate of the family incase of introverted/death of the husband.....wife
 
]Hata kama atapewa talaka [/COLOR]lakini haki itachukua mkondo wake mama atapewa sehemu ya mshahara wa Mr.

hawezi kumwacha mwanamke kama huyo, ataanzia wapi lyfe na mwenyewe ndio anategemea tujibanze wote kwenye hiyo nyumba ambayo nitaiita yangu na wanangu kwa sasa?...mnacheza nyie.
 
ningekuwa mie nicngeliweka wazi kwa sababu zangu binafc, ningeipangisha na mie nipate kipato kidogo cha kujihudumia na kuwasaidia watoto na familia yangu pale panapokwama....sasa ngoja nikuache ucctize kwamba nimeiba lakini moyo wangu ungeniambia cjaiba chochote na ningemshukuru Mungu kuwa nimefanya jambo la mcngi kuiokoa familia yangu.....cjaiba kabisa na lawama mpe huyo mzee kushindwa kuihudumia familia yake ipasavyo na kusababsha mie kufanya niclolitegemea kwa kuinusuru familia...

sasa hapa ndipo yule mama alipokushinda!...YEYE ALIKONFESS NA KULIWEKA WAZI!......

hili ni jaribu nyamayao!huyu mama alimshinda shetani hapa tu
 
Mama akafanya dhambi amehamisha pesa mfukoni mwa Mr. bila lidhaa ya mwenye pesa hapo tayari dhambi inapotokea kwa nini ahamishe kwa kificho? tena anategea yupo bwiiii

kama nikiomba cpewi na ninaona zinaishia bar nifanyaje? HAKUNA DHAMBI HAPO, MWENYE DHAMBI HILO LIBABA..... mctete kisichoteteleka.....ebo.
 
....but she confessed it STEALING!may be you tell me what do we mean by stealing....

Kuiba ni kuchukua mali/ kitu kisichokuwa chako na ukakimiliki bila ridhaa ya mwenyenacho.
Mume na mke ni kitu kimoja. Biblia inasema (Utawaacha baba na mama yako, Utaambatana na mkeo na nyinyi wawili mtakuwa mwili mmoja). Mama akichukua mali ya mmewe, amechukua mali yake. Hana haja ya kuomba. Ili mradi anaifanyia jambo SAHIHI! She was not stealing for God's sake. She was taking/transfering! Nigongee senksi hapa!
 
No! But to my human perception, there is an exception in some cases/sin before our loving God. soldier's wife did with good spirit bearing in mind the fate of the family incase of introverted/death of the husband.....wife

SO,you can conclude kwamba the woman HAS SACRIFICED HERSELF TO DEVIL FOR THE FAMILY'S SAKE!.....am i right?
 
kama nikiomba cpewi na ninaona zinaishia bar nifanyaje? HAKUNA DHAMBI HAPO, MWENYE DHAMBI HILO LIBABA..... mctete kisichoteteleka.....ebo.

Ndo maana tunasema kwa nn mama asitumie njia sahihi?
Yawezekana kuna libaba lingine lilikuwa linachangia ujenzi.
 
Kuiba ni kuchukua mali/ kitu kisichokuwa chako na ukakimiliki bila ridhaa ya mwenyenacho.
Mume na mke ni kitu kimoja. Biblia inasema (Utawaacha baba na mama yako, Utaambatana na mkeo na nyinyi wawili mtakuwa mwili mmoja). Mama akichukua mali ya mmewe, amechukua mali yake. Hana haja ya kuomba. Ili mradi anaifanyia jambo SAHIHI! She was not stealing for God's sake. She was taking/transfering! Nigongee senksi hapa!
umekula senksi karibu kila post zako zote!.....

kuwa mwili mmoja ni kigezo pekee cha kufanya mambo kimya kimya??????!

huyu mama aligundua tatizo kwa mumewe!kwanini hakutaka kuwashirikisha watu?aidha wazazi,walezi,viongozi wa dini n.k..au hata waajiri wake!

kwanini alichukua ushauri wa mashangingi wa saluni?
 
sasa hapa ndipo yule mama alipokushinda!...YEYE ALIKONFESS NA KULIWEKA WAZI!......

hili ni jaribu nyamayao!huyu mama alimshinda shetani hapa tu

She confessed because she didn't know just like you don't know what stealing real means! Hata Yesu aliwasamehe watu kwa sababu walikuwa hawajui walitendalo.
 
sasa hapa ndipo yule mama alipokushinda!...YEYE ALIKONFESS NA KULIWEKA WAZI!......

hili ni jaribu nyamayao!huyu mama alimshinda shetani hapa tu

wewe umejisoma vzr kweli? uliuliza kama huyo baba nae angekuwa alinunua nyumba kimya kimya huyo mama angesema kama ana nyumba? nikajibu ningekuwa mie nicngesema kwa sababu nilizozitaja hapo juu, vinginevyo ningesema coz nicngetaka 2rudi nachingweaa....upo nami?
 
Back
Top Bottom