Can this end justfy the means?!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
THE MEANS:baada ya kuona mumewe(mwanajeshi wa level ya lt col) ni mlevi kupindukia,anakabidhi mshahara wake woote bar,kula kunywa na totooz huyu mke mwema aliamua kuanza kumuibia mumewe kila siku usiku kwa staili ya kumsachi mfukoni(kwasababu anakuwa kalewa)!hela alizokuwa akizikwapua alizitumia kununua kiwanja gongolamboto na kuanza ujenzi kwa kujikongoja sana.zoezi hili lilichukua zaidi ya miaka miwili...hatimae nyumba ilikamilika!

THE END:kama tunavyojua,hatma ya wanajeshi wengi ni kustaafu kulingana na vyeo ulivyopata na umri.huyu mh lt col muda wa kustaafu ulifika.ana watoto wanne,wawili wakiwa university private.ilikuwa ngumu kwa huyu mzee kufikiria kujenga,wakalazimika kutafuta nyumba ya kupanga.mama aliamua kumpangishia nyumba aliyoijenga.......!kodi ilikuwa laki sita kwa mwezi.nyumba ilikuwa full furnished!...canali mstaafu alikaa miezi sita analipa kodi hamjui mwenye nyumba,baada ya muda kupita kanali alishindwa kumudu hata gharama za nyumba.akamshauri mkewe warudi kwao nachingwea!ndipo mke mwema alipoamua kumueleza ukweli woote kwa namna alivyoijenga nyumba,na kumsihi mumewe kuwa abaki tu kwani nyumba ni yake!

SWALI LANGU:CAN THIS END JUSTFY THE MEANS?!..........

tujadili!
 
Dah huyu mama alitumia akili mingi sana unajua watumishi wengi wanao pewa nyumba iwa wanajisahau sana kujenga hata kutafuta maeneo kama kiwanja n.k Nampongeza huyo mama kwa jambo jema alilo lifanya laiti kama nae angekuwa ana honga viserengeti boyz wangerudi kwao Nachingwea huko.
 
ipo kanuni moja ya maadili inasema THE END DOES NOT JUSTFY THE MEANS!hata kama umefanya jema,lakini kama umetumia njia ya dhambi bado hujafanya kitu.unaionaje hiyo?
 
Swadakta nakubaliana na wewe ametumia njia sio halali fikiria jamaa angejua kuwa mke wake ana msachi mfukoni si pangekuwa padogo.
 
Huyu mama safi sana nampongeza, mbona kuna hata watu wanaiba serikalini wanato msaada kwenye majimbo yao ya uchaguzi na makanisa then saa 2 usiku tunawaona?(sorry legend)
 
SAWA,PANGEKUWA PADUCHU!lakini hii kanuni ya maadili IKO SAHIHI!?!wazee wakujilipa tunasononeshwa sana na hiii kanuni:D
 
Huyu mama safi sana nampongeza, mbona kuna hata watu wanaiba serikalini wanato msaada kwenye majimbo yao ya uchaguzi na makanisa then saa 2 usiku tunawaona?(sorry legend)
kwa hiyo unaonaje mkuu nguli?!can we justfy theft IN JESUS NAME?
 
Absolutely YES kama wizi wenyewe ni of such kind. Ingekuwa vipi mama asingefanya searching na kujenga badala yake akaamua na yeye kugawa uroda kwa viserengeti boys? Kanuni nyingine zinapaswa kuwekewa limits kama za integration (wale watu wa hisabati wanayajua sana haya)! Hahaha!
 
haya bwana mkubwa!
UMENIKUMBUSHA MBALI KIDOGO!...A BODY IS MOVING WITH INITIAL VELOCITY 0 M/S TO INFINITY!

sasa what should be the limits?
hapa kwa jicho la tatu ninaona tuna TWO BIG EVILS?!CAN WE ESTABLISH THE OTHER PRINCIPLE......''to choose the lesser evil?''
 
Namsifu sana huyo mama, hata mimi ningekuwa kwenye position yake, i would have done the same.
 
ipo kanuni moja ya maadili inasema THE END DOES NOT JUSTFY THE MEANS!hata kama umefanya jema,lakini kama umetumia njia ya dhambi bado hujafanya kitu.unaionaje hiyo?

dhambi ipo wapi hapo? cjaiona!huyu baba ndio alikuwa anafanya dhambi kutokumbuka maendeleo na kutaka familia ife mackini kwa kumalizia mshahara bar..... huyu baba amshukuru sana huyu mkewe, sana tena sana.
 
Huyu mama ana akili kweli its true that, mke mwema hujenga nyumba yake
 
Swadakta nakubaliana na wewe ametumia njia sio halali fikiria jamaa angejua kuwa mke wake ana msachi mfukoni si pangekuwa padogo.

nasema kweli kumwaibisha shetani.....cjawahi/kufikiri hata kumsachi mr lakini ningekuwa kwenye ctuation kama ya huyu mama kwa kuiokoa familia yangu ningefanya alivyofanya huyu mama......w
 
dhambi ipo wapi hapo? cjaiona!huyu baba ndio alikuwa anafanya dhambi kutokumbuka maendeleo na kutaka familia ife mackini kwa kumalizia mshahara bar..... huyu baba amshukuru sana huyu mkewe, sana tena sana.
dhambi ni wizi kwa upande wa mwanamke!...na kutotimiza wajibu kwa upande wa mwanaume!
 
haya bwana mkubwa!
UMENIKUMBUSHA MBALI KIDOGO!...A BODY IS MOVING WITH INITIAL VELOCITY 0 M/S TO INFINITY!

sasa what should be the limits?
hapa kwa jicho la tatu ninaona tuna TWO BIG EVILS?!CAN WE ESTABLISH THE OTHER PRINCIPLE......''to choose the lesser evil?''

Yeah! Ukiangalia sana, she was not stealing! Alikuwa anachukua fedha zake ambazo mwenzake angezitumia vibaya. Mnapooana mnakuwa kitu kimoja (Hope, pale msimbazi senta ilikuwa mada hii). Yaani mke na mme mnaunganishwa mnakuwa kitu kimoja. Sasa how can someone steal from himself? Ni kama kutoa hela mfuko wa kushoto ukahamishia wa kulia.
 
Back
Top Bottom