Can this end justfy the means?!

Safi sana mama,Yani akili sio lazima uende shule uwe na ma-PHD.Huu ni mfano mzuri wa kuigwa.Nafikiria nianze kuapply maana hizi location za Counter zimezidi.

Hahaha! Kaunta tunakula maji makuuuuubwa ya kilimanjaro huku tukikamata mahubiri ya mwakasege! LOL!
 
hata kama limechangia so what? si kuna nyumba huyo baba kaepushwa kurudi nachingwea sijui kuzeeka na maisha ya kijini ambayo hajayazoea?

Halafu huyo mama amemuongezea huyo baba hata siku za kuishi.Maana angerudi Nachingwea tu bac kwishney huyo,niagieni!
 
hata kama limechangia so what? si kuna nyumba huyo baba kaepushwa kurudi nachingwea sijui kuzeeka na maisha ya kijini ambayo hajayazoea?

Hizi ndo dhambi tunazo ziongelea hapa mama kajenga bungalow kwa kisingizio cha kuhamisha pesa change zilizo baki kwenye pombe usiku mm hii naona sio kweli ningekuwa mm huyu mama angechukua kibano aseme hii nyumba nani kajenga haiwezekani change zinazo rudi Bar zijenge bungalow

mwenye dhambi hi hilo li baba.....

Huyu mama ndo mwenye dhambi kubwa amemkosea mmewe na amemkosea Mungu pia vile vile amewakosea hata watoto ningekuwa ndo mm huyo mjeshi hilo bungalow napiga bei tu twende Nachingwea tukamalizie maisha ukiwa kama mwanaume unajisikiaje kuishi kwenye nyumba aliyo jenga mwanaume mwenzio kwa kumtumia mkeo?

Halafu huyo mama amemuongezea huyo baba hata siku za kuishi.Maana angerudi Nachingwea tu bac kwishney huyo,niagieni!

Mmmh mtumishi acha kutupotosha unamaana watu wanao ishi kijijini ndo wanakufa mapema au ndo wanapigika na maisha? Hii si kweli unaweza ukabaki mjini hapa huna pesa ukawa ndo mzigo zaidi mama wa watu akaanza kutumika ovyo ovyo kwa kupewa vi credo vya 500.
 
unaweza mpeleka mtu mbele ya mahakama kwa hayo makosa?!.......
Yes you can,
Chini ya kifungu cha sheria ya kushindwa kutunza mke na watoto sheria ndogo ya idara ya ustawi wa jamii na maendeleo ya wanawake na watoto.
 
Yes you can,
Chini ya kifungu cha sheria ya kushindwa kutunza mke na watoto sheria ndogo ya idara ya ustawi wa jamii na maendeleo ya wanawake na watoto.
shemeji naona unazungumzia MATOKEO YA ULEVI,NA PENGINE UZINZI (tena kwa wasiokuwa makini)!........ambayo hupelekea mtu kutotimiza wajibu wake kwa familia.

NAULIZA HIVI,unaweza mpeleka mtu mahakamani kwa ulevi tu?au uasherati?au uzinzi?
 
Hiyo sio kuiba alikuwa anahamishia upande wa pili si mwili mmoja!!!!? Nachingwea hawaendi ng'ooo, Madheri alikuwa akili kumkichwa, safi sana.
yeye alikiri kaiba sasa!labda uniambia ni WIZI MWEMA!.....wanawake wangapi tumewaona wakiwaibia waume zao jamani!......mbona hili swala halieleweki?
 
nipe msimamo wako nguli!.....wizi ni nini?
je,mkeo hawezi kukuibia?

Wizi ni kuchukua mali isiyo yako kwa lazima au kulaghai.
Mama wa hands up aluchukuwa hela zao na hands up(mumewe)

Mke wangu hawezi kuiba anachukuwa
 
Wizi ni kuchukua mali isiyo yako kwa lazima au kulaghai.
Mama wa hands up aluchukuwa hela zao na hands up(mumewe)

Mke wangu hawezi kuiba anachukuwa
kwa hiyo wake zetu hawaibi!????!RUKSA TU KUFANYA LOLOTE NA HELA ZETU?
 
shemeji naona unazungumzia MATOKEO YA ULEVI,NA PENGINE UZINZI (tena kwa wasiokuwa makini)!........ambayo hupelekea mtu kutotimiza wajibu wake kwa familia.

NAULIZA HIVI,unaweza mpeleka mtu mahakamani kwa ulevi tu?au uasherati?au uzinzi?

Na hata mahakamani huwa hawahukumu mtu bila ushahidi wa matendo aliyofanya mpaka kufikia kwenye matokea ya yeye kuwepo mahakamani.
 
Na hata mahakamani huwa hawahukumu mtu bila ushahidi wa matendo aliyofanya mpaka kufikia kwenye matokea ya yeye kuwepo mahakamani.
Ushahidi gani ulio mkubwa zaidi ya mtuhumiwa kukiri kwamba ni kweli alikuwa anasachi waleti kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo?
 
Ushahidi gani ulio mkubwa zaidi ya mtuhumiwa kukiri kwamba ni kweli alikuwa anasachi waleti kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo?

Hivi kitendo cha kuchukua mali iwe pesa ya baba ako au mama ako bila kumtaarifu si kosa?
 
Hivi kitendo cha kuchukua mali iwe pesa ya baba ako au mama ako bila kumtaarifu si kosa?

inaonekana kama sio kosa!
pia hata wake zetu wakitusachi pia SIO KOSA!
tunaokoelekea watakuja kutushika sharubu hawa.....halafu litakuwa SIO KOSA:D
 
yeye alikiri kaiba sasa!labda uniambia ni WIZI MWEMA!.....wanawake wangapi tumewaona wakiwaibia waume zao jamani!......mbona hili swala halieleweki?
Alivyokiri kaiba kachemka, mie sijaona uwizi hapo, ameokoa jahazi. pesa iliyotumika kujenga hiyo nyumba ni ya mume wake kihalali, hakuna attached strings.
 
Hivi kitendo cha kuchukua mali iwe pesa ya baba ako au mama ako bila kumtaarifu si kosa?

Kuchukua pesa ya baba/mama/mjomba/shangazi au yeyote yule bila kumtaarifu ni kosa. Lakini siyo kwa MKE/MUME. Hawa ni kitu kimoja. Unajichukulia tu kwa raha zako.
 
Back
Top Bottom