Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Malizia sentensi hii....Naona kama haijakamilika vile.Niwe makini na watu gani? ninaoendana nao kitabia?( wamaanisha kuwa wanaweza kuwa mbwamwitu wenye ngozi ya kondoo?)
Wengi watakufuata i love you so much than Jesus
Ukajua huyu ndiye Mungu kanitunuku.
Tu tubu na kuiamini Injiri.