Cameron threat to withhold UK aid to anti-gay nations ........ WATANZANI MPOO

Ni vizuri ukisikia jambo kutulia na kujaribu kulifahamu. Alichosema Cameron kwa Tanzania kuhusu magays bado mpaka sasa wengi hawajakifahamu.

Kinachofahamika ni kua magay wapo Tanzania na haijasikika kua mtu ameuliwa kwakua ni gay, sasa labda alichokusudia Cameron anaona idadi ya magay ni kidogo Tanzania au Africa kwa ujumla kwahiyo anataka iongezeke. Tuwekane sawa. Ukoloni umetoka kwa mlangoni na umerudi kwa dirishani.
 
Serikali ya Uingereza iwape viza hao mahomosexual wahamie huko ili biashara yao ichanganye.
Wasipotupa misaada kwa ajili ya homosexuals I will be the happiest man

sawa kabisa wafanye hivyo kama wanaona ni mchezo mzuri kwao
wanataka kutuongezea mabalaa tu hawa
 
HIli movie linaana kama lile Movie la Dowans ambalo kila mwananchi kwa upeo wake wa kawaida alipinga malipo tata ya Dowans lakini leo viongoi wetu kwa ghilba zao wamefanya kila namna na malipo yapo njiani, wananchi pia hatutaki kusikia mambo ya homosexuality hata kidogo lakini hofu yangu ipo kwa hawa ndugu wanaowakilisha mawazo yetu mbele ya mikutano ya maamuzi lazima watakenulia meno hyo issue na amini usiamni itapita na ndivo itakuwa...

Kiongozi pekee atakaye dare kusema NO with all of his everything atakuwa ni Mugabe peke yake, wengine woooote including "JAMAA" watakubali kwa mikono miwili.....
 
I love all people but I do not support homosexuality.
This in the bible is an abomination and anybody who really have God should not harbour the spirit of homosexuality.

I believe homosexuality is a tool used by the devil to degrade the most valuable thing God ever made, man. In the bible this issue caused God to destroy sodom and gomorah cities in our generation the same issue is highly connected with the Destroyer desease of H.I.V/AIDS.

Most people who worship money have been looed by the devil into this hence we have so many homos in the so called cerebrity class into it.

No matter what this is a sin and God Hates it fullstop.
 
Hivi ni kweli Tanzania hakuna gays & lesbians? Au kwa sababu Cameron kaongea basi tunaanza kukana kama hatujawahi kuwasikia hawa watu?
Kenya wamefanya utafiti na wamegundua 15% ya wanaume ni bi-sexuals! na cha kuhuzunisha ni kuwa wanaume hawa wanafanya mambo yao mchana jioni wanarudi kwa wake zao! Ningefurahi kama Tanzania na sisi tungefanya research hasa ukanda wa Pwani!
 
wewe una lako jambo, ukanda wa pwani kuna tatizo gani?
hata kama wakiwa milioni moja hakuna haki ya kupewa hela ili kualalisha kama wao wanaoni ni big deal
wajitokeze waombe haki zao
 
@POSHO MAVYEO
wewe una lako jambo, ukanda wa pwani kuna tatizo gani? - tufanye research halafu ndio uje na hilo swali. Mara nyingi watu wanaopinga makelele utakuta nao wamo!

hata kama wakiwa milioni moja hakuna haki ya kupewa hela ili kualalisha kama wao wanaoni ni big deal
wajitokeze waombe haki zao.
Kwa hiyo wapo?
 
huyu ni moja ya wale wanaoitwa ant-christ mi sishangai kwa 7bu haya yote yalitabiliwa sasa yameanza kujitokeza taratibu cha kufahamu hapa shetani amebakiza muda mfupi kwa hiyo kitu kinachofanyika sasa anajitahidi ili awe na wafuasi wengi,hivi NWO ikitangazwa lasmi japo mpaka sasa kuna hizo element yaani hili swala dogo kati ya mambo yalioandaliwa na hawa wapinga kristo.
 
ashindwe na alegee hakuna ushoga nchi hii
 
Hivi ni kweli Tanzania hakuna gays & lesbians? Au kwa sababu Cameron kaongea basi tunaanza kukana kama hatujawahi kuwasikia hawa watu?
Kenya wamefanya utafiti na wamegundua 15% ya wanaume ni bi-sexuals! na cha kuhuzunisha ni kuwa wanaume hawa wanafanya mambo yao mchana jioni wanarudi kwa wake zao! Ningefurahi kama Tanzania na sisi tungefanya research hasa ukanda wa Pwani!

Tumefahamishwa jina lako ni Faraji Jakaya mrisho ni kweli au uongo????
 
Hivi ni kweli Tanzania hakuna gays & lesbians? Au kwa sababu Cameron kaongea basi tunaanza kukana kama hatujawahi kuwasikia hawa watu?
Kenya wamefanya utafiti na wamegundua 15% ya wanaume ni bi-sexuals! na cha kuhuzunisha ni kuwa wanaume hawa wanafanya mambo yao mchana jioni wanarudi kwa wake zao! Ningefurahi kama Tanzania na sisi tungefanya research hasa ukanda wa Pwani!

.
Kama wapo hilo sii tatizo, tatizo ni pale unapotaka watambuliwe kisheria. Hivi ni vitendo vya giza kwa sababu ni kinyume na maumbile. Hakuna alieharibu maumbile asivune uharibifu. Hivyo taifa la uingereza ni waangelikana na sote tunafahamu angelikana wamekuwa mji wa sodoma na maaskofu wake hawana tofauti na mke wa Loti. Hatutakubali kamwe taifa kusilimishwa kwa nguvu kuwa waangelikana. Na maombi yetu siku zote kwa mangu aliyeyaumba Maumbile na kuyawekea kanuni ni kwamba Taifa la uingereza lifilisike. Maana sasa linataka kutumia pesa (Handmans paradise) kama fimbo ya kuwachapia wanaomtii muumba wa Mbingu na nchi. NA ILAANIWE UINGEREZA NA WATU WOTE WASEME AMINA!! NA ALAANIWE CAMERUNI NA WATU WOTE WASEME AMINA!! NA ULAANIWE UANGELIKANA NA WATU WOOTE WASEME AMINA!! NA ALAANIWE YUYOTE ANAEWATETEA WASE-NGE AMA WASAGAJI SAWA SAWA NA ADUI WOTE WA HAKI YA MAUMBILE!!
 
Na bado, ikikaribia kabisa mwisho wa dunia watu watazuiwa kuuza au kununua mpaka wakubali masharti ya Ibilisi Shetani (Western + UN), Mwenyezi Mungu Tunusuru na balaa hili. Tunabakwa mchana kweupe
 
awa ni mashetni wa kizungu, wanaona haki za kibinadamu ni kufanya mapenzi ya jinsia moja!!!!
wametuibia mali asili zetu alafu sasaivi wanasema wanatusaidia,
ni bora kufa masikini kuliko kukubaliana na izi sheria za kishetani ambazo sio utamaduni wetu kote afrika.
KWA WASIOJUA TANZANIA WAMESHAINGIA NA WANAITRODUCE MASHOGA IN DIRECT, KWA WALE WALIO HUDHULIA TAMASHA LA TNGP WALISHUHUDIA MASHOGA WALIVOKUWA WANASIFIWA
 
Back
Top Bottom