Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Uchambuzi yaninifu wa huu mradi ukoje?
1.Ni abiria wangapi kwa sasa wanaosafiri kati ya Musoma na Arusha
2.KWa sasa safari kati ya usoma na Arusha ni a=masaa mangapi na Ujenzi wa barabara ya rami utapunguza masaa mangapi ?
3.Kuna faida zozozte zitafaidisha wanyama na wakazai wa barabara inakopita au ni kutufaidisha wapita njia.
4.
Binafsi sikubalini na huo mradi naona ni maamuzi ya kisiasa zaidi.
Kwanza neno HIFADHI lina maana yake. kama eneo limeshatajwa ni hifadhi linatakiwa kuwa na limited man made develelopment. kama ni kufanya develelopment zinatakiwa kuwa za kumantain NATURE ya eneo husika.