Bwana harusi achinjwa na familia ya bibi harusi hekaluni

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
1477240649709.jpg

Bwana harusi, Mahankali Anill mwenye umri wa miaka 22 alichinjwa na kuvunjwa kichwa kwa jiwe kubwa na familia ya msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa akimuoa.

Mashirika ya habari yalisema familia ya msichana huyo, walivamia mahali ambapo wawili hao walikuwa wakifunga ndoa wakamkamata kwa nguvu mwanamume huyo na kwenye nae nje.

Bibi harusi aliyetambuliwa kama Hastapuram Mounika alisemekana kutazama kwa mshtuko mkubwa wakati mume wake mtarajiwa alipokatwa shingo na Kuuawa kikatili mbele yake.

Ilisemekana wawili hao walikuwa wametoroka pamoja lakini familia ya msichana iliwatafuta hadi ikawapata katika hekalu la Thimmapur, India ambako walikuwa wakifunga ndoa.

Walikuwa wamechumbiana kwa mwaka mmoja lakini familia ya msichana haikuwa imependezwa na uhusiano huo wakajaribu kuwatenganisha.

Kulingana na ripoti za habari, walijaribu kuoana awali lakini famili ya msichana ikafanikiwa kushawishi polisi kuwa umri wake ulikuwa chini ya miaka 18 wakazuiliwa kuoana.

1477242232034.jpg

Mkuu wa polisi wa eneo hilo Kamalasan Reddy alinukuliwa akisema washukiwa kadhaa wamekamatwa, huku ripoti zikisema watu 10 walikuwa kizuizini.
 
Natamani bwana harusi angekuwa Msuk...!

Nuda huu ningekuwa nasheherekea kimoyomoyo,

Nakuombea ufe hata kesho Mygofool

Nina hakika utakufa kifo kibaya zaidi ya hichi

Mwanaharamu wewe,

Tuachie dude letu tuliendeshe wenyewe,

Hivi mtu ukiokota madaraka unakuwa ....
mmmmmmh wewe
 
Watu tunavyo zidi kuwa wengi na watu ndivyo hasira zinazidi kuongezeka.
 
Natamani bwana harusi angekuwa Msuk...!

Muda huu ningekuwa nasheherekea kimoyomoyo,

Nakuombea ufe hata kesho Mygofool

Nina hakika utakufa kifo kibaya zaidi ya hichi

Mwanaharamu wewe,

Tuachie dude letu tuliendeshe wenyewe,

Hivi mtu ukiokota madaraka unakuwa ....
Duuh!
 
*****.mvizie na panga barabarani.

Yaani kwa povu hili kama sio muuza ngada basi pembe za ndovu au msimamizi wa flow metre.
 
Natamani bwana harusi angekuwa Msuk...!

Muda huu ningekuwa nasheherekea kimoyomoyo,

Nakuombea ufe hata kesho Mygofool

Nina hakika utakufa kifo kibaya zaidi ya hichi

Mwanaharamu wewe,

Tuachie dude letu tuliendeshe wenyewe,

Hivi mtu ukiokota madaraka unakuwa ....
 
Natamani bwana harusi angekuwa Msuk...!

Muda huu ningekuwa nasheherekea kimoyomoyo,

Nakuombea ufe hata kesho Mygofool

Nina hakika utakufa kifo kibaya zaidi ya hichi

Mwanaharamu wewe,

Tuachie dude letu tuliendeshe wenyewe,

Hivi mtu ukiokota madaraka unakuwa ....

Nakuvulia kofia. Yaan sijui kakutenda nini ila inaonekana kakutenda mabaya sana. Dah! Ka ni kujitoa muhanga, wewe zaidi
 
Kuna binadamu wana roho ngumu, natumaini nao watasoteshwa kwa kifungo cha mateso na wala wasiwaue wakione cha moto wote waliohusika. RIP
 
Natamani bwana harusi angekuwa Msuk...!

Muda huu ningekuwa nasheherekea kimoyomoyo,

Nakuombea ufe hata kesho Mygofool

Nina hakika utakufa kifo kibaya zaidi ya hichi

Mwanaharamu wewe,

Tuachie dude letu tuliendeshe wenyewe,

Hivi mtu ukiokota madaraka unakuwa ....
Duh! JF kuna mambo na watu!
 
wahindi wabaguzi sana sana sana!
Hao jamaa wabaguzi sana kuna bint mswahili hapa hapa bongo alipewa mimba na kijana wa kihindi wazazi wa yule kijana wa kihindi walivyojua wakasubiri binti kajifungua mtoto waka mnyang'anya kichanga wakamfukuza huyo binti,kichanga akapelekwa kwa dada wa kihindi nae alikuwa kajifungua ndio akawa anamnyonyesha yule binti wa kiswahili wakawa hawataki hata kumuona na mtoto wakamkatalia!

-Nyerere-
 
daah!huzuni!
huyo Dada angedai mwanawe

wabaguzi hawa hadi wenyewe kwa wenyewe!
wanabaguana
r
 
Back
Top Bottom