Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Wacha kabisa pale inabidi niongeze ulinzi makwapu kwapu wasijemkwapua mapema

Naweza kuwa bodyguard wenu?

Nakuhakikishia hakuna atayewasogelea....

Atakayethibutu atapigwa bonge moja la guillotine choke apoteze fahamu kabisa!

Ngabu ni protector wa watoto wazuri wazuri.
 
..sasa kwanini usingeenda church Yenu au Ya Jirani unakimbilia social networks Mkuu,haupo serious kabisa naona
Hizo ndio Gia za sasa uonekane umeokoka kumbe unataka kula mzigo kiaina. Kuna baadhi ya wadada wataleta mrejesho hapa. Jinsi Viol alivyo wala bila hata ya kulipia hela ya bajaji.
 
nimeokoka V,imagine unavyolaliana na watu kama Nyani Ngabu we madem wengi humu ila bado upo hai,lazima uokoke
Aisee Nyani Ngabu ushawahi kufukuzia manzi wa angola?washikaji wa angola wakikuona wanamfuata manzi wako na kumwambia ana ngoma achana naye,,,,lazima uachwe
Hakuna ulokole apo
 
-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.

Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.
Awe na bikira au asiwe nayo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom