Business ideas (Bure)

Kaka & Mtanganyika

Asanteni sana kwa mawazo na michango endelevu ya kijasiriamali

Kwa kuongezea hapa katika concern ya Kaka .... je ni jinsi gani unaweza ku-preserve vyakula na hapo hapo pasi kuondoa natural taste na pia bila kuharibu nutritional contents, i am speaking of intrinsic values of the food to be preserved?

Mtanganyika ... how would you change the heart and minds of the prosect cutomers to switch into canned or processed food and what about the idea of processing of half-cooked traditional foods (like cassava,banana,kisamvu,yam etc) for export to foreigners of the nationals in which the food originate

Cortunix, Kumsaidia kaka most of the time wanafanya ule mchanganuo wa ingredients ni food laboratory. Hao wanachambua na kukwambia % za kila kitu.

Kuhusu jee utabadilishaje maono ya die hard Watanzania ambao wanaona kama sio kutoka shamba sio fresh. Hapa dawa ni marketing and educate consumer. Kuandaa mchakato wa kuelimisha walaji, mfano ni kwenda kwenye alaiki za watu na kuweka meza na kuanza kuelimisha kwamba wewe huleti kitu kipya kwenye soko, bali unaboresha vilivyopo, wewe humyonyi mkulima bali unamfanikisha. Hapa marketing ndio mwanzo mwisho, na marketing nzuri ni smart marketing. Kumbuka kwamba tunawalenga wateja wenye uweleo kidogo.

Mkuu kwanza kujitahidi product yako ifike nchi za maziwa makuu, na kama inakubalika dar basi hizi nchi za maziwa makuu it wont be a problem. Kisha hapa lazima utengeneze mchakato wa kupartner na World Food Organization ambazo ziko msatari wa mbele wa kupambana na njaa. Kumba mjasilimali ana save time and reduce cost and your product does both.

Tutafute muda tuzungumze social media marketing strategy, Galleria Warfare Marketing tactics, na nyingine nyingi.
 
Cortunix, Kumsaidia kaka most of the time wanafanya ule mchanganuo wa ingredients ni food laboratory. Hao wanachambua na kukwambia % za kila kitu.

Kuhusu jee utabadilishaje maono ya die hard Watanzania ambao wanaona kama sio kutoka shamba sio fresh. Hapa dawa ni marketing and educate consumer. Kuandaa mchakato wa kuelimisha walaji, mfano ni kwenda kwenye alaiki za watu na kuweka meza na kuanza kuelimisha kwamba wewe huleti kitu kipya kwenye soko, bali unaboresha vilivyopo, wewe humyonyi mkulima bali unamfanikisha. Hapa marketing ndio mwanzo mwisho, na marketing nzuri ni smart marketing. Kumbuka kwamba tunawalenga wateja wenye uweleo kidogo.

Mkuu kwanza kujitahidi product yako ifike nchi za maziwa makuu, na kama inakubalika dar basi hizi nchi za maziwa makuu it wont be a problem. Kisha hapa lazima utengeneze mchakato wa kupartner na World Food Organization ambazo ziko msatari wa mbele wa kupambana na njaa. Kumba mjasilimali ana save time and reduce cost and your product does both.

Tutafute muda tuzungumze social media marketing strategy, Galleria Warfare Marketing tactics, na nyingine nyingi.

Thanks
 
Kijana13 Finance kwa any start up ni uphill battle, lakini guess what it is winnable. Kuna mambo lazima uzingatie kabla ujaanza kuzunguka kutafuta mtaji. Najua umeshasikia hili kwamba kati ya start-up kumi zinazoanzishwa saba zinakufa ndani ya miezi michache. What does this mean for an investor/bank? Start-up are too risky. Na hii ni kwanini start-up too risky, mara nyingi start up nyingi zinaanzishwa na watu wasio na ulewo wa biashara, mbili start up nyingi are just a single product.

Nimejaribu kufikiria jee ni nini entrepreneur angalie kabla hajaanza kuzunguka kutafuta mtaji wa kwa start up. Kwa uchache here is the roadmap.
  1. Know the numbers behind your business. Ukweli kwamba kama unataka kutengeneza business ambayo utaajiri watu na wewe kupata mafanikio basi lazima ujue namba. Mambo kama lini biashara itakuwa cash positive, Jee kiasi gani cha mtaji unaitaji? Jee Gross Margin zako zitakuwaje? Lini biashara ita break even, Jee ikifika sehemu fulani utaitaji tena mtaji kiasi gani? Jee mauzo kwa mwezi yawe kiasi gani ili uweze kujiendesha mwenyewe. Haya yote ni maswali ambayo lazima ujiulize na uprove majibu yako. Kama utajidanganya mwenyewe kwa kusema aaah nitauza KG 200 kwa mwezi za unga bila hata kujua Bakheresa anauza ngapi, hapo utakuwa unajiingiza chaka.
  2. Test and Prove your idea. Hapa ndio kikomo cha start up, idea yako itakuwa idea mpaka utakapo ijaribu na kuona inafanya kazi. Mfano mimi nimekuwa nikiwaza sana biashara ya kusindika vyakula, sababu it is not capital intensive, the market is BIG and the process is not complicated. However, nimekuwa muwazi nikitambua kwamba Waatanzania sio walaji wa process food, it's a new product machoni kwa watu so it can be mix results. So, i decide kutest the market, hivyo nitatengeneza prototype (za majaribio) na naanza na maharage kwanza, nita process 100 jars za 1/2KG Mbeya beans, kisha 20 nitagawa for different people from different background, kisha baada ya muda nitachukua survey kuona wameonaje. Kama watapenda then i know this idea can be product to the mass, kama hawa 20 wakisema NO then am ending this nonsese and think about something else. Hivyo ni muhimu sana kutest market before anything.

Kama hayo mawili hapo juu yote ni provable then unaweza kusema kwamba wewe sasa una biashara. Ileweke kwamba kuna tofauti ya biashara na idea. Financing ziko za aina kadhaa lakini kwa start-up i will only focus on two: Angles Investors ( Mama mdogo, uncle, mjomba, jirani, kaka yako, someone you know), hawa ni jamaa zako ambao wanakuamini wewe, take your idea to this folks and ask for a certain capital with a Promise of percentage ownership katika biashara yako. Kumbuka to own 70% of a business is better than own 100% of an idea with no capital. Second is debt finance (Bank, Vikoba, Saccoss, private equity, n.k). These are the folks who doesnt know you, and they don't care about your product they only care for ROI of their money. Nakupa 1,000,000 prove utairudisha in 6 month with 20% interest rate. How to face this mean people? Below is 1,2,3
  1. Have a some revenue, hawa jamaa wanataka kuona jee umeshatengeneza hela. Means your business is not an idea any more. So, make sure biashara ishasimama hata kwa mguu moja kabla ya kwenda Bank kukopa.
  2. Be prepared: Kumbuka hawa jamaa only thing they care is their money, so lijue soko, jua forecast zako, zijue namba zako vilivyo na hapa kama uliandikiwa Business Plan be ready kutoka jasho la kwapa.
  3. Get use to the word "NO", jiandae kabisa kwamba wapo watakao kukwambia No lakini don't give up.

I hope this point chache zinaweza kutoa mwanga kidogo, lakini kumbuka ya kwamba wewe ndio unaijua biashara yako kushinda mtu yoyote, hivyo no one can stop you to make it happen.

Kaza msuli haya mambo yanawezekana, 80% ya kuendelea ni kujiandaa kimawazo, kama umejipanga kimawazo unakwenda. Jamani hawa kina Manji, MO, Mengi, Azam waliwezaje? If you have a tough skin kama kenge, then this is your field. Lakini kama ukipoteza 10,000Tsh unakosa usingizi, basi please kaa huko huko kwa muajiri. Failure is not permanent.


Asante sana mkuu kwa mambo uliyoyaeleza naamini yatasaidia wengi kwenye suala la uelewa hasa start up business.
kwangu nimejipanga kufanya zifuatazo( bakery (Cakes,burger na Mini pizza), Ice cream, Mobile fast food and Food processing product)

  • Ideas nimezifanyia kazi almost 1 year now na pia nimekwenda training tofauti tofauti kuhusiana na biashara hizo na zote nime qualify kuzitengeneza kwa ubora na design tofauti.
  • Nimefanya utafiti pia wa cost halisi, sales na profit from daily up to Years.
  • Pia nimefahamiana na wazalishaji mabalimbali na kuelewa challenge wanazokutana nazo etc
  • Pia nitakuwa na product tofauti tofauti na wateja wa rika mbali mbali na location kulingana na wateja
  • Pia kwa package nimefanya utafiti kwa wazalishaji wa ndani nchini na wa nje kuhusiana na ubora wa vifungashio.
  • Na kwasasa nimeshainvest pesa za kutosha katika kupata eneo na kulifanyia marekebisho na liko tayari kuanza kazi, na baadhi ya mashine nimeshanunua
  • kwa suala la masoko pia nimeshafanya utafiti almost many part hapa dar es salaam
Ndio hayo mkuu mpaka sasa nimefanya na nina uhakika Hizi biashara nitafanya vizuri.( my email ni ubakery@yahoo.com)
 
Wakuu basi nimeprocess Jam just to show mfano. Nimefanya Leo in my kitchen. ImageUploadedByJamiiForums1380493007.433813.jpg ImageUploadedByJamiiForums1380493022.442726.jpg ImageUploadedByJamiiForums1380493052.375534.jpg ImageUploadedByJamiiForums1380493070.734174.jpg
Hii is good for 3 years. Kuna other process zijaonyesha kama kuseal lead na nyingine. But you have an idea how package can change the world.
 
Umetoa very good observation Mtanganyika. Packaging na ile genaral presentation ya bidhaa inatunyima masoko sana. Kwa mfano packaging ya maziwa ya Tanga fresh huwa inanishangaza sana. Iko vile vile, style ile ile miaka nenda miaka rudi. Inamaana huwa hatufanyi improvemt ya bidhaa zetu kulingana na feedback toka kwa wateja na soko kwa ujumla! Hatujawa agressive ktk ku compete kibiashara. Unakuta hadi toilet paper watz tunatumia zinazotoka nje sababu zakwetu ni sawa na vumbi tu hazifai hata muonekano wa nje hauvutii kuinunua!

Mfano halisi wa winners and losers. View attachment 114442

Do you see why we can't compete? Branding and packaging are the weapon of any successful business.
 
Ya kufyatua na kuuza matofali nayo inalipa

Mdogo wangu alipomaliza university alijaribu hii business ya matofali. Nilopo kaa chini na kuangalia namba zake hii biashara ina gross margin ndogo sana. I call it razor skin margin. Gross Margin of 10%.

Standard margin ni 40% before general expenses. Maana bei ya kuuzia toa gharama za utengenezaji salio lazima liwe 40% ya bei
 
Ndugu Mtanganyika, nashukuru kwa somo zuri, kwakua inaonekana mawazo haya umeyafanyia kazi vema nafikiri itakua vema kupunguza dukuduku kwetu kwa kutupa mchanganuo mzima, kwani aina za biashara zinapishana mgawanyo wa mtaji. Mashine ya kusaga na kukodi jengo <16M, lakini stock ya miezi 3 inaweza kua >10x16M. Lakini upande wa Mgahawa unahitaji stock ya ~wiki 1, ambacho kitakua kiasi kidogo sana <16M/10.
Natanguliza shukran kwa mawazo yako.
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia JF kwa muda mrefu sana, tangu enzi hizo inaitwa jambo forums mpaka jamii. Nimeona watu wengi walivyo na muamko wa biashara ili kuongeza kipato sababu mishara ya kazini haitoshi. Lakini kikubwa nimeona watu wanavyoumiza kichwa kujua nini wafanye, wengi wamekuwa waigizaji au copycat. Kwenye biashara kuna watu wa aina tatu Innovator, imitator and ------, hivyo try to be innovator. Ok enough of blah blah. Mpango wangu katika post hii ni kuainisha biashara 6 ambazo mtaji wake ni less than 10,000USD exclude a working capital.

  1. Food Processing and Packaging (The truth ni kwamba agro product zetu hazipo kwenye mashelf ya supermarket za dar sababu the packaging sucks. Nilinunua bottle ya mbilimbi pickles, yaani product is taste lakini the package ni aibu. Biashara yoyote inayohusu chakula una potential ya kuikuza at least by 15% annual. Food ambazo unaweza process includes Maharage, mahindi mabichi, samaki, njegere, mchicha na nyingine nyingi. Sio lazima kutengeneza pilipili everybody is doing it.
  2. Maize and Rice Milling. Najua hapa wote mtasema oooh Azam na Jogoo wameshika soko, guess what kuna at least 20% ya market share ambayo ni nobody territory. Unachotakiwa ni kujitofautisha (Differentiation Strategy) na Azam na Jogoo. Here is how: (a)Kiwango (Quality), hakuna atake nunua unga wako kama ukikaa ndani unaoza, (b)Urahisishaji (convenience) hapa sio kwenye price bali kwenye packaging, funga katika ujazo wa 1/2KG, 1KG, 2KG, 5KG na 10KG. Zama za mizani zimekwisha. (c) Bei shindani (competitive price), kumbuka zama za kulopoka kwamba kilo 1,000 zimekwisha. Have all the facts behind your numbers, jua gharama za uzalishaji (Direct Cost & Indirect Cost), pricing is an art sio kulopokwa tuu sababu everybody is selling 1,000 basi na wewe 1,000.
  3. Quick Car Wash,Tire Repair, Oil and Lubes. Kila mtu anaona magari yanavyongezeka Tanzania, the good news ni kwamba this is nothing in the next 10 years idadi will double. Means kwamba opportunity and opportunity for entrepreneur. Nimeita quick sababu quickness ndio inakutofautisha na wachaga walio na sehemu hizi. Kumbuka we are not trying to bring new business into the market we're either changing the process or improve the service that's it. So, hapa unaitaji air compressor ya mid size, hydraulics car jack za ukweli sio vile vijeki mshenzi ambavyo lazima utumie msuli. Remember quickness here at least 10 minutes mtu hayupo.
  4. Bakery, fast food restaurant and Pizza Place. Tanzania sasa imeamka jamani sio miaka ya 1980s ambapo watu walikuwa wananua maandazi ya kufunga na gazeti, watu sasa wanataka good product, well packed and delicious. Cha muhimu hapa ni location, ukienda kufungua hii venture kigogo huko au kwetu kimanga am sorry no one will recognize it. Angalia location and target "middle income consumer" wanaojifunga tai na michuchumio ( facebook/twitter generation). Hapa pia kumbuka quickness is a key, watu wanajaribu kuishinda foleni, so no one will give you 20mins umfungie maandazi.
  5. Mobile entertainment. Hapa kama unaujuzi wa kuwaza unaweza kutengeneza pesa mpaka basi. Over 20% ya Watanzania ni watoto 12years and younger. Means kwa dar tuu wapo watoto zaidi ya laki 6. Kila mdada anajaribu biashara ya kuleta bounce house kwenye birthday za watoto, that is so 1960s. Watoto wa siku hizi wapo 9 hours ahead, fikiria outside the box. Kumbuka hi St. Majanga zote zilizojaa dar ukiwa na good mobile entertainment idea you will partner with all of them. This is pure money...
  6. Mobile Fast Food Restaurant: Wenyewe mnaona jinsi KFC au subway zinavyojaza au container pale morocco, lakini hawa wote ni "brick and mortar" hawewezi kuwafata wateja posta, coco beach. Wewe unafanya mapinduzi, kumbuka business is always about revolution if you evolve yatakupata ya Blackberry.

Kama unaidea nyingine weka hapa, zama za kuamini kwamba idea yako watu wataichukua is nonsense, sababu wewe unaijua idea yako kushinda mtu mwingine. Kama mimi all those 6 are my ideas. Let soko liwe jaji.

Mungu akijalia wakiti mwingine nitaandika tumia social media to make miracle in your business. Na hapa you will see how facebook, twitter, blogs can make revolution for your business. Remember we not bring anything new in the market we are either change process au improve service.


ndugu yangu umeleta mawazo mazuri sana, binafsi nimeshawishika na kuvutiwa sana na hili la kuosha magari, lubes na kadhalika ila nilitaka kujua hizo hydrolic jakes na vifaa vingine vinaweza kugharimu kiasi gani na pia huo mtaji mdogo unaouzungumzia ni wa kiasi gani ili na mim nione kama naweza kujiingiza huko
 
Mimi ni kijana ambaye nina uchu na biashara, sema wazo la kufanya biashara gan ndo ishu. Nlikua naomba kujuzwa ni biashara gan naweza fanya ambayo mtaji hautazidi 3m.:lock1:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom