Business ideas (Bure)

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
944
Wakuu nimekuwa nikifuatilia JF kwa muda mrefu sana, tangu enzi hizo inaitwa JamboForums mpaka JamiiForums. Nimeona watu wengi walivyo na muamko wa biashara ili kuongeza kipato sababu mishara ya kazini haitoshi. Lakini kikubwa nimeona watu wanavyoumiza kichwa kujua nini wafanye, wengi wamekuwa waigizaji au copycat. Kwenye biashara kuna watu wa aina tatu Innovator, imitator and ------, hivyo try to be innovator.

Ok enough of blah blah. Mpango wangu katika post hii ni kuainisha biashara 6 ambazo mtaji wake ni less than 10,000USD exclude a working capital.

1. Food Processing and Packaging: (The truth ni kwamba agro product zetu hazipo kwenye mashelf ya supermarket za dar sababu the packaging sucks. Nilinunua bottle ya mbilimbi pickles, yaani product is taste lakini the package ni aibu. Biashara yoyote inayohusu chakula una potential ya kuikuza at least by 15% annual. Food ambazo unaweza process includes Maharage, mahindi mabichi, samaki, njegere, mchicha na nyingine nyingi. Sio lazima kutengeneza pilipili everybody is doing it.

2. Maize and Rice Milling: Najua hapa wote mtasema oooh Azam na Jogoo wameshika soko, guess what kuna at least 20% ya market share ambayo ni nobody territory. Unachotakiwa ni kujitofautisha (Differentiation Strategy) na Azam na Jogoo.

Here is how:

(a) Kiwango (Quality), hakuna atake nunua unga wako kama ukikaa ndani unaoza,

(b) Urahisishaji (convenience) hapa sio kwenye price bali kwenye packaging, funga katika ujazo wa 1/2KG, 1KG, 2KG, 5KG na 10KG. Zama za mizani zimekwisha.

(c) Bei shindani (competitive price), kumbuka zama za kulopoka kwamba kilo 1,000 zimekwisha. Have all the facts behind your numbers, jua gharama za uzalishaji (Direct Cost & Indirect Cost), pricing is an art sio kulopokwa tuu sababu everybody is selling 1,000 basi na wewe 1,000.

3. Quick Car Wash,Tire Repair, Oil and Lubes: Kila mtu anaona magari yanavyongezeka Tanzania, the good news ni kwamba this is nothing in the next 10 years idadi will double. Means kwamba opportunity and opportunity for entrepreneur. Nimeita quick sababu quickness ndio inakutofautisha na wachaga walio na sehemu hizi.

Kumbuka we are not trying to bring new business into the market we're either changing the process or improve the service that's it. So, hapa unaitaji air compressor ya mid size, hydraulics car jack za ukweli sio vile vijeki mshenzi ambavyo lazima utumie msuli. Remember quickness here at least 10 minutes mtu hayupo.

4. Bakery, fast food restaurant and Pizza Place: Tanzania sasa imeamka jamani sio miaka ya 1980s ambapo watu walikuwa wananua maandazi ya kufunga na gazeti, watu sasa wanataka good product, well packed and delicious. Cha muhimu hapa ni location, ukienda kufungua hii venture kigogo huko au kwetu kimanga am sorry no one will recognize it.

Angalia location and target "middle income consumer" wanaojifunga tai na michuchumio ( facebook/twitter generation). Hapa pia kumbuka quickness is a key, watu wanajaribu kuishinda foleni, so no one will give you 20mins umfungie maandazi.

5. Mobile entertainment: Hapa kama una ujuzi wa kuwaza unaweza kutengeneza pesa mpaka basi. Over 20% ya Watanzania ni watoto 12years and younger. Means kwa dar tuu wapo watoto zaidi ya laki 6. Kila mdada anajaribu biashara ya kuleta bounce house kwenye birthday za watoto, that is so 1960s. Watoto wa siku hizi wapo 9 hours ahead, fikiria outside the box. Kumbuka hi St. Majanga zote zilizojaa dar ukiwa na good mobile entertainment idea you will partner with all of them. This is pure money...

6. Mobile Fast Food Restaurant: Wenyewe mnaona jinsi KFC au subway zinavyojaza au container pale morocco, lakini hawa wote ni "brick and mortar" hawewezi kuwafata wateja posta, coco beach. Wewe unafanya mapinduzi, kumbuka business is always about revolution if you evolve yatakupata ya Blackberry.

Kama una idea nyingine weka hapa, zama za kuamini kwamba idea yako watu wataichukua is nonsense, sababu wewe unaijua idea yako kushinda mtu mwingine. Kama mimi all those 6 are my ideas. Let soko liwe jaji.

Mungu akijalia wakati mwingine nitaandika tumia social media to make miracle in your business. Na hapa you will see how facebook, twitter, blogs can make revolution for your business. Remember we do not bring anything new in the market, we are either change, process au improve service.
 
Umesema yote kaka ila nadhani frankly speaking fear/lack of courage holds us back.
Jana jioni nilikuwa naongea na rafiki yangu mmoja ambae tunajadiliana sana mambo ya biashara nikamwambia kwamba only thing you need in business is courage, if you have courage the whole world can go this way and i will take my courage and go the other way.

Business need courage and business sio kwa kila mtu. Ni juu yako kuangalia na kusema kwamba naweza kufanya biashara or i belong in the office.
 
Umesema yote kaka ila nadhani frankly speaking fear/lack of courage holds us back.

nikweli kabisa mkuu, mleta mada kanena vyema sana tatizo waajiriwa wengi ni woga wa biashara.
kingine ni kukosa muda wa kusimamia.
Wafanyakazi wengi wanabanwa sana na ajira, unakuta unatoka ofisini saa kumi au kumi na moja, mpk uje ufike kwenye mradi wako ni saa moja uck.
Muda ulonao ni weekend tu, unakuta unaibiwa kila ck.
 
Thanks Mkubwa, uko sawa sawa nami nina mawazo kama hayo mkubwa na kwa sasa niko kwenye uanzishaji wa hizo biashara.Changamoto mitaji hasa kwa start up business...any ideas za financing kwa start up business.

Kijana13 Finance kwa any start up ni uphill battle, lakini guess what it is winnable. Kuna mambo lazima uzingatie kabla ujaanza kuzunguka kutafuta mtaji. Najua umeshasikia hili kwamba kati ya start-up kumi zinazoanzishwa saba zinakufa ndani ya miezi michache. What does this mean for an investor/bank? Start-up are too risky. Na hii ni kwanini start-up too risky, mara nyingi start up nyingi zinaanzishwa na watu wasio na ulewo wa biashara, mbili start up nyingi are just a single product.

Nimejaribu kufikiria jee ni nini entrepreneur angalie kabla hajaanza kuzunguka kutafuta mtaji wa kwa start up. Kwa uchache here is the roadmap.
  1. Know the numbers behind your business. Ukweli kwamba kama unataka kutengeneza business ambayo utaajiri watu na wewe kupata mafanikio basi lazima ujue namba. Mambo kama lini biashara itakuwa cash positive, Jee kiasi gani cha mtaji unaitaji? Jee Gross Margin zako zitakuwaje? Lini biashara ita break even, Jee ikifika sehemu fulani utaitaji tena mtaji kiasi gani? Jee mauzo kwa mwezi yawe kiasi gani ili uweze kujiendesha mwenyewe. Haya yote ni maswali ambayo lazima ujiulize na uprove majibu yako. Kama utajidanganya mwenyewe kwa kusema aaah nitauza KG 200 kwa mwezi za unga bila hata kujua Bakheresa anauza ngapi, hapo utakuwa unajiingiza chaka.
  2. Test and Prove your idea. Hapa ndio kikomo cha start up, idea yako itakuwa idea mpaka utakapo ijaribu na kuona inafanya kazi. Mfano mimi nimekuwa nikiwaza sana biashara ya kusindika vyakula, sababu it is not capital intensive, the market is BIG and the process is not complicated. However, nimekuwa muwazi nikitambua kwamba Waatanzania sio walaji wa process food, it's a new product machoni kwa watu so it can be mix results. So, i decide kutest the market, hivyo nitatengeneza prototype (za majaribio) na naanza na maharage kwanza, nita process 100 jars za 1/2KG Mbeya beans, kisha 20 nitagawa for different people from different background, kisha baada ya muda nitachukua survey kuona wameonaje. Kama watapenda then i know this idea can be product to the mass, kama hawa 20 wakisema NO then am ending this nonsese and think about something else. Hivyo ni muhimu sana kutest market before anything.

Kama hayo mawili hapo juu yote ni provable then unaweza kusema kwamba wewe sasa una biashara. Ileweke kwamba kuna tofauti ya biashara na idea. Financing ziko za aina kadhaa lakini kwa start-up i will only focus on two: Angles Investors ( Mama mdogo, uncle, mjomba, jirani, kaka yako, someone you know), hawa ni jamaa zako ambao wanakuamini wewe, take your idea to this folks and ask for a certain capital with a Promise of percentage ownership katika biashara yako. Kumbuka to own 70% of a business is better than own 100% of an idea with no capital. Second is debt finance (Bank, Vikoba, Saccoss, private equity, n.k). These are the folks who doesnt know you, and they don't care about your product they only care for ROI of their money. Nakupa 1,000,000 prove utairudisha in 6 month with 20% interest rate. How to face this mean people? Below is 1,2,3
  1. Have a some revenue, hawa jamaa wanataka kuona jee umeshatengeneza hela. Means your business is not an idea any more. So, make sure biashara ishasimama hata kwa mguu moja kabla ya kwenda Bank kukopa.
  2. Be prepared: Kumbuka hawa jamaa only thing they care is their money, so lijue soko, jua forecast zako, zijue namba zako vilivyo na hapa kama uliandikiwa Business Plan be ready kutoka jasho la kwapa.
  3. Get use to the word "NO", jiandae kabisa kwamba wapo watakao kukwambia No lakini don't give up.

I hope this point chache zinaweza kutoa mwanga kidogo, lakini kumbuka ya kwamba wewe ndio unaijua biashara yako kushinda mtu yoyote, hivyo no one can stop you to make it happen.

Kaza msuli haya mambo yanawezekana, 80% ya kuendelea ni kujiandaa kimawazo, kama umejipanga kimawazo unakwenda. Jamani hawa kina Manji, MO, Mengi, Azam waliwezaje? If you have a tough skin kama kenge, then this is your field. Lakini kama ukipoteza 10,000Tsh unakosa usingizi, basi please kaa huko huko kwa muajiri. Failure is not permanent.
 
Una ideas nzuuuri sana mkuu, mimi kwa faida ya wengi hapa ningependa kuweka swali la bonus kwako ndugu mtanganyika kwa manufaa ya woote watakaopitia uzi huu na mimi nikiwemo.

Swali :
1. Sote twajua ya kuwa kwa wastani chakula kikipikwa kikawaida na kikaachwa kwa muda fulani mfupi say siku 1, chakula hicho huchacha. Je ni kwa vipi chakula hicho kitafanywa ili kiweze kukaa mwezi/miezi pasipo kuharibika.?

2. Na vipi kuhusu kununua mashine za kupakia, kupikia vyakula.? Si gharama sana kama mimi ninavyodhani.? Maana kwa mawazo yangu mpaka sasa ni kwamba vifaa hivyo vinauzwa kwa bei ghali sana na haitokuwa favuorable kwa wajasiriamali wadogo.

Na jee stil initial capital inaweza kuwa chini ya 10 million.?
 
Kaka: Nadhani umepiga Baghdad maana nimefanya research ya kusindika chakula na bado naendelea kujisomea kwenye hilo. Ukweli ni kwamba nitakupa trick hapa za kusindika sio mwezi moja au miwili miaka 2 bila chakula kuaribika. Sasa sio utengeneze mchuzi wa bamia (jokes). Mfano mrahisi, unajua inawachukuwa watanzania muda gani kuchemsha maharage 2-3 hours. Time and Energy cost are too high. Hivyo nikikuchemshia maharaga, nikakuwekea na kitunguu kabisa wewe unafungua na kuunga ladha guarantee tell me i didnt save your time and money? Here is how you do it kaka.
  1. Tafuta pahala utakapo nunua Jars (chupa zenye mdomo mpana) na vifuniko vyake vyenye seal.
  2. Chemsha au upika unachotaka kusindika.
  3. Tia kwenye jar kikishaiva. Funga jar kisha ingiza kwenye sufuria ya maji chemsha maji na hizo jar mpaka yachemke pwatapwata. Acha kama 10 mins yachemke pwatapwata Kisha toa jar ndani ya maji.
  4. Hakikisha seal imejifunga na hapo official utakuwa umesindika.

Kuna sheria za kusindika chakula za serikali ya Tanzania, nakushauri upite pale TBS na Food and Drug Admin pale external ujue hizo procedure.

Kuhusu mashine za kupika hapa inategemea unataka kupika kiasi gani. Hizi machine zimejaa china ni sio expensive kwa small size ambayo unataka kuanzia. Machine za kufanya package nyingi ni expensive lakini kwa kuanzia huitaji machine kwa kufanya package unaitaji labor kidogo ya vijana kukusaidia. Na pili kufanya sourcing, maana vitu kama jars lazima utoke nje ya Tanzania kupata kwa bei ambayo sio ghali sana. Jar moja unaweza kuipata kwa 500Tsh lakini nje ya Tanzania.

I hope nimejaribu kujibu maswali yako. Ukitaka kujua zaidi Google "Canning Food". Au ngoja niangalie kama naweza kukurafuta ecopy ya kitabu chenye procedure za kusindika.
 
Kaka hapo nimekupata kwa kuanzia, lakini ni vipi unaweza pata universal way of preserving foods..? Na je njia hiyo ya kupreserve chakula TBS wanakubaliana nayo.? Maana most of times nikisoma canned foods contents sikosi kuona maneno yafuatayo ; preservatives, flavours, additives, salts e.t.c. je ni vipi mjasiriamali mdogo anaweza fikia level hizi.?
 
Kuna two procedure moja ni kuadd preserving agents ambayo hii most of the time hupoteza radha, na pili ni without preserving which is the best to my opinion. Canning procedures are the same for any sets of the food. Kumbuka kinachoa aribu chakula ni backeria na hewa. So ukiweza kuvacum hewa na kulinda hewa isiingie na kuuwa backeria wote basi hapo ume succeed. Those three are the main principles. Sasa unaweza kufanya kimasikini which is what i itemize hapo juu. Au unaweza kufanya kibiashara zaidi hapa ndio kuletea machine ambayo inafanya hayo matatu. Lakini same procedure only this time machine inafanya.

Lazima mwanzoni upime kila kitu kwenye mchanganyo wako, mfano maharage 1KG, 2 table salts, 1 Pilipili, and etc. Ukisha tengeneza ukaweka kwenye chupa zako za kusindika. Let say 10 jars, then take 3 jars peleka kwenye independent laboratory ambao wao wata angalia ingredients na kukwambia salt is 10%, this is this % then base on hizo data unaweza kutengeneza labels. Kama unataka kusindika matunda hapa kuna preserves kama Pectin na hii ina calcium lazima ujue ni kiasi gani cha Calcium, only labs can do that.

So tukirejea kwenye mfano wa maharage, kama unajua kwa kilo 1, basi ukifanya 50 unazidisha vipimo vile vile mara 50. So ingredients stays the same.
 
Kaka & Mtanganyika

Asanteni sana kwa mawazo na michango endelevu ya kijasiriamali

Kwa kuongezea hapa katika concern ya Kaka .... je ni jinsi gani unaweza ku-preserve vyakula na hapo hapo pasi kuondoa natural taste na pia bila kuharibu nutritional contents, i am speaking of intrinsic values of the food to be preserved?

Mtanganyika ... how would you change the heart and minds of the prosect cutomers to switch into canned or processed food and what about the idea of processing of half-cooked traditional foods (like cassava,banana,kisamvu,yam etc) for export to foreigners of the nationals in which the food originate
 
Last edited by a moderator:
Kuna two procedure moja ni kuadd preserving agents ambayo hii most of the time hupoteza radha, na pili ni without preserving which is the best to my opinion. Canning procedures are the same for any sets of the food. Kumbuka kinachoa aribu chakula ni backeria na hewa. So ukiweza kuvacum hewa na kulinda hewa isiingie na kuuwa backeria wote basi hapo ume succeed. Those three are the main principles. Sasa unaweza kufanya kimasikini which is what i itemize hapo juu. Au unaweza kufanya kibiashara zaidi hapa ndio kuletea machine ambayo inafanya hayo matatu. Lakini same procedure only this time machine inafanya.

Lazima mwanzoni upime kila kitu kwenye mchanganyo wako, mfano maharage 1KG, 2 table salts, 1 Pilipili, and etc. Ukisha tengeneza ukaweka kwenye chupa zako za kusindika. Let say 10 jars, then take 3 jars peleka kwenye independent laboratory ambao wao wata angalia ingredients na kukwambia salt is 10%, this is this % then base on hizo data unaweza kutengeneza labels. Kama unataka kusindika matunda hapa kuna preserves kama Pectin na hii ina calcium lazima ujue ni kiasi gani cha Calcium, only labs can do that.

So tukirejea kwenye mfano wa maharage, kama unajua kwa kilo 1, basi ukifanya 50 unazidisha vipimo vile vile mara 50. So ingredients stays the same.

nilipobold umeniacha mambo gani matatu? machine inaitwaje?
 
Similar Discussions

127 Reactions
Reply
Back
Top Bottom