NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,311
Anyongwe kwa lipi jamani?very interesting story,na lulu nae anyongwe
Anyongwe kwa lipi jamani?very interesting story,na lulu nae anyongwe
Ahsante sana ndugu,
Story yako ni nzito sana. Ina mambo mengi ambayo yanatisha, kuhuzunisha na kushangaza pia. Ina kuwa ngumu kuamini ni kwa jinsi gani mtu ambaye awali alikuwa kama mnyama anaweza kubadilika na kuwa mtu wa kuvuta hisia za wenzake. Na pia jinsi ambavyo watu wanashindwa kutoa nafasi ya kuprove kile kinachochanganya akili za wengi.
Hivi Bush angebadili huyo hukumu kitekokea nini??
Babu DC!!
Hii ndiyo tunaita miujiza !
Japo wengi walibisha wakiamini kuwa anaweza rudia tabia zake akibadilishiwa hukumu.
Na mume ya yule mama hakuwa tayari kumsamehe japo kwa ukorofi wake aliweza kumwingiza mkewe matatizoni
Naona umeadimika sana
ujue tunahitaji busara zako hapa
uwe unatukumbuka.
Pole kwa msiba.
Kweli Nata,
Watu wengi lazima wengabaki na wasi wasi wa namna hiyo. Ila matukio aliayoyafanya katika siku zake za mwishi yalikuwa yanagusa hisia kibinadamu na ndiyo maana inakuwa ngumu kuelewa ni jinsi gani Bush aliweza kuwa na roho ngumu kiasi kile.
Hata mie ninengemsamehe!!
Babu DC!!
Asante sana Mtambuzi yaani inasikitisha sana!
Niliona watu walivyokuwa wakimtetea jamani .
Huyu Bush angemuulumia bado wale wamabango na ndugu wa marehemu wangeweza kutomkubali kwenye jamii
na wangeweza mfanyizia chochote.
Kama vile inahusiana na issue ya binti Lulu... just thinking loudly!!
huyu Bush mdogo alikuwa na msimamo...
Kusimamia sheria!
Na hicho ndio kitu pekee nachompendea Bush. Kwamba anaposimamia kitu basi hatetereki.huyu Bush mdogo alikuwa na msimamo...
Na hicho ndio kitu pekee nachompendea Bush. Kwamba anaposimamia kitu basi hatetereki.