Bush mdogo akaamuru kahaba anyongwe……………..!

Dah, nilitumia nguvu nyingi kuhakikisha inakuwa kweli
Yaani natamani ni:smash: komputa yangu.

Mie nilipapenda pale, nikitaka kujua zaidi ntakuPM, hapa hapana.

Hapa kinachopendwa ni uwazi na ukweli tu. Hivyo uliza na utajibiwa.

Taka taka ile nimetupa jalalani.
 
Duh.., Ngoja nipige mbili tatu ili kuifupisha hii, maana kavu kavu naonda ndefu balaa..!
Senx Gustavo.
 
Hapana NATA, ilikuwa SURURU Shwaaaaaa..........................LOL
Najaribu kujenga picha, eti kila akimtwanga jamaa na SURURU, anapata MSHINDO.....yaani anafika Kileleni kama vile anajamiiana....... Kweli ilikuwa ni Killing with pleasure.........

Yaani shetani ananguvu kweli akikuvaa anakuvaa sana,
Hata A Mkwisu alishakili baada ya kuokoka kuwa alikuwa anakiburi anajisikia raha kuwa amemkomesha mbaya wake

Baada ya kuokoka alijuta sana
 
Ahsante sana ndugu,

Story yako ni nzito sana. Ina mambo mengi ambayo yanatisha, kuhuzunisha na kushangaza pia. Ina kuwa ngumu kuamini ni kwa jinsi gani mtu ambaye awali alikuwa kama mnyama anaweza kubadilika na kuwa mtu wa kuvuta hisia za wenzake. Na pia jinsi ambavyo watu wanashindwa kutoa nafasi ya kuprove kile kinachochanganya akili za wengi.

Hivi Bush angebadili huyo hukumu kitekokea nini??

Babu DC!!
 
usimhukumu binadamu mwenzako hapa ukimwengu kwa hakika hukumu iliyo ya kweli niya siku ya kiama pekee.nakupa tano mkubwa bt ndefu sana.
 
Back
Top Bottom