Hivi huyu Mkulo alifanikiwa vipi kuwa Mkurugenzi wa NSSF kwa miaka nenda rudi......................?? Au enzi zile hakukuwa na wasomi??
Situation is still the same even today! Tazizo letu hatujui what to expect so whatever they deliver tunaona ni exception kumbe tumeibiwa!
Mfano - whats the life of Dodoma University vs money spent thereon -kama si mtaalam jiulize tu basi kama walau kitaishi nusu ya umri wa UDSM bila kuhitaji major maintanance?
Au TRA wanajifanya wame- meet target za kukusanya mapato bandarini ili hali ni exchange rate inawazsaidia! - June 2011 say 1389 now 1580 lakini target ya 2011/12 ni ile ile! Au na hii tunataka Lusinde aje tutukania?