Patamu hapo lakini sijawai kusikia kama wanalalamikiwa na MOU na upande wa pili
Angalau Mh. Meshaki Opulukwa ameanza kuunguruma. Amesumbuka sana na kesi ya uchaguzi huko Meatu, sasa baada ya kushinda kesi anaonekana. Inawezekana hizi kesi za uchaguzi zinamikakati ya kupunguza nguvu ya Upinzani Bungeni.