ukiona hivyo serikali imeshikwa pabaya sana, habari ndiyo hiyo madaktari si waalimu waliozoea kuwaonea onea. na ukitaka kutonesha kidonda ongelea hii issue ya madaktari --- ni msumali wa moto.Mh! zambi Anaomba muongozo wa spika juu ya mgomo wa madaktari bingwa na kumtaka spika aruhusu mjadala wa dharura. Anatoa hoja na kutaka wabunge wengine wamuunge mkono. Wanainuka baadhi yao. Mara spika anawaamuru wakae chini na kusema kwa ukali kua hawezi kuruhusu mjadala kwa kua kamati iliyoundwa bado iko kazini. Anainuka mbuge mwingine kuomba muongozo na anajibiwa kua hakuna mwongozo. Mwingine anainuka na kutaka kutoa taarifa. Na yeye anaambiwa kwa ukali kua hakuna cha taarifa. Spika anasema tunaendelea na ratiba! Duu leo bibi kachachamaa!
huu ndio ushahidi wa mwisho kuwa Tanzania kama nchi haina wenyewe.ndo nchi yenu hiyo!!!!
aiseee Dr Baru baru tena Ph.D haswaaa.....hebu fikiri kidogo.....Jamani kwanini Bunge lisimame wakati kamati yake ya huduma za jamii inalishughulikia suala hilo? Kwanini wabunge wasiwe na subra kusubiri majibu ya kamati?
Labda tujiulize wanataka kujadili nini kuhusu kadhia hiyo? au wanataka wavute muda na kuongeza posho.
Tafadhali wa Tz mnatakiwa kujua muda ni mali sana.
Nawapa pole wale wanaoshabikia issue hii ya mgomo.
mkuu, wabunge gani wanatoka?..........
hakuna wanaopiga makofi na kushangilia kwamba Bi kiroboto anafanya mambo mazuri?
redio nyingi zinapiga taarab sasa hivi....wakuu huwezi kucheki bunge online au redio yoyote amayo inarusha matangazo haya.
Jamani kwanini Bunge lisimame wakati kamati yake ya huduma za jamii inalishughulikia suala hilo? Kwanini wabunge wasiwe na subra kusubiri majibu ya kamati?
Labda tujiulize wanataka kujadili nini kuhusu kadhia hiyo? au wanataka wavute muda na kuongeza posho.
Tafadhali wa Tz mnatakiwa kujua muda ni mali sana.
Nawapa pole wale wanaoshabikia issue hii ya mgomo.
Tutakoma tulio waruhusu wakaingia magogoni....
Mama makinda kaniuzunisha sana......huyu mama hana huruma,sio mama,hana utu,hana ubinadamu kwa kifupi namfananisha na dizaini ya wauaji wa albino.....Alichokifanya Makinda si cha kiungwana kabisa.....Ndio maana Zambi alisema busara zitumike lakini makinda katumia nguvu kubwa sana. Hapa kilichobaki Watanzania ni kumuomba Mungu tu kwani tuliowapa mamlaka ya kutuongoza na kufanya maamuzi wameamua kutusaliti.......\
Tukubaliane toka mgomo uanze nini kimefanyika? Kamati ya Wabunge mbona wapo Dar toka Jana na Madakitari bigwa wameamua kugoma?
Makinda kweli anawadhalilisha wanawake kwani wao wanasema wanaweza wakati wanashindwa kutoa maamuzi kila kiongozi hawezi kutoa maamuzi.........Nasikitika sana.