Bungeni kumewaka moto-mgomo wa madaktari

[Labda tujiulize wanataka kujadili nini kuhusu kadhia hiyo? au wanataka wavute muda na kuongeza posho.

[/QUOTE]
Walioomba muongozo wangepewa nafasi waseme kwanza, halafu hakuna emergency au cha muhimu cha kujadili zaidi ya maisha ya watu! Hapa madaktari bingwa wamegoma!
 
Mh! zambi Anaomba muongozo wa spika juu ya mgomo wa madaktari bingwa na kumtaka spika aruhusu mjadala wa dharura. Anatoa hoja na kutaka wabunge wengine wamuunge mkono. Wanainuka baadhi yao. Mara spika anawaamuru wakae chini na kusema kwa ukali kua hawezi kuruhusu mjadala kwa kua kamati iliyoundwa bado iko kazini. Anainuka mbuge mwingine kuomba muongozo na anajibiwa kua hakuna mwongozo. Mwingine anainuka na kutaka kutoa taarifa. Na yeye anaambiwa kwa ukali kua hakuna cha taarifa. Spika anasema tunaendelea na ratiba! Duu leo bibi kachachamaa!
ukiona hivyo serikali imeshikwa pabaya sana, habari ndiyo hiyo madaktari si waalimu waliozoea kuwaonea onea. na ukitaka kutonesha kidonda ongelea hii issue ya madaktari --- ni msumali wa moto.
 
ndo nchi yenu hiyo!!!!
huu ndio ushahidi wa mwisho kuwa Tanzania kama nchi haina wenyewe.
sasa hebu jiulize hapa Makinda anamtetea nani na sera za nchi/chama gani kama si kutudhuru sisi wananchi!
 
Spika na naibu wake wanakinzana. Hoja ya kujadili mgomo imeungwa mkono kwa wabunge kusimama. Bi kiroboto kawapa za kike haswa 'em kaeni uko'. Angekuwa job wabunge kuto kusimama angesema hoja haijaungwa mkono. Serikali ya magamba jamani kila mtu anasema lake
 
Kuna kitabu nilishawahi kukisoma najaribu kurelate na hali ya kwetu sasa kinaitwa HE CAME TO SET THE CAPTIVES FREE by Rebecca Brown. Huyu dada alikuwa anafanya Hospital moja marekani, kuna wagonjwa emergency walikuwa wakiletwa hapo Hospital lakini hakuna aliekuwa anawajali, akiuliza mbona huyu mtu analetwa halafu mnamuangalia tu wote wanatoka eneo hilo. Kumbe hawa Freemansoon ndio zilikuwa nyakati zao za kutoa kafara. Hii ni sawa na hapa kwetu ama viongozi wenyewe ndio ma freemansoon ndo wanatoa kafara zao kuimarisha ngome ama mafreemansoon wamewambia wafanye hivyo. Bila kanisa kusimama hapa kwa maombi hili tatizo litaisha mpaka wawe wametosheka kwa Kafara zao.

Very Terrible. Inakuwaje mkuu wa kaya amekaa kimya, aua anasubiri wawe wanakufa anaenda msibani. HIvi kwa nini, hili tatizo ni kubwa sana linahusu nchi wala Hajigusi, kwa nini??? Hivi sherehe za CCM Mwanza zilikuwa muhimu kuliko hili la sasa la Madoc.... Inauma sana. Ana siku chache sana pale magogoni. Kama wagonjwa wanataka waandamane kwenda kufia Ikulu, sijui anataka nini huyu bwana!!!!
 
Jamani kwanini Bunge lisimame wakati kamati yake ya huduma za jamii inalishughulikia suala hilo? Kwanini wabunge wasiwe na subra kusubiri majibu ya kamati?

Labda tujiulize wanataka kujadili nini kuhusu kadhia hiyo? au wanataka wavute muda na kuongeza posho.

Tafadhali wa Tz mnatakiwa kujua muda ni mali sana.

Nawapa pole wale wanaoshabikia issue hii ya mgomo.
aiseee Dr Baru baru tena Ph.D haswaaa.....hebu fikiri kidogo.....
hakuna anaeshabikia mgomo..hakuna....watu wanataka mgomo ukome kwa makubaliano ya makundi husika wafikie muafaka.....sasa wewe Barubaru Ph.D hujasikia na sasa mabingwa wamegoma....unajua kinachotokea sasa hivi muhimbili? i wish utoke umanagani uko uje uone.....
 
Alichokifanya Makinda si cha kiungwana kabisa.....Ndio maana Zambi alisema busara zitumike lakini makinda katumia nguvu kubwa sana. Hapa kilichobaki Watanzania ni kumuomba Mungu tu kwani tuliowapa mamlaka ya kutuongoza na kufanya maamuzi wameamua kutusaliti.......\
Tukubaliane toka mgomo uanze nini kimefanyika? Kamati ya Wabunge mbona wapo Dar toka Jana na Madakitari bigwa wameamua kugoma?
Makinda kweli anawadhalilisha wanawake kwani wao wanasema wanaweza wakati wanashindwa kutoa maamuzi kila kiongozi hawezi kutoa maamuzi.........Nasikitika sana.
 
makinda ni mchapakazi bora ndo maana hata rais alimpa tuzo kwa kazi aliyomtuma inavyokwenda sawa.
 
Kaka kuna mambo ya kusubiri! Je ni vema kusubiri kamati yenye hadidu rejea za muda wa wiki na zaidi kuleta ripoti wakati pale Mhimbili watu wanakata roho kila saa? Doesnt that call for emergence meeting and appropriate actions to be taken? Kuna masuala ya kusubiri, lakini si suala linalohusu uhai wa binadamu!
Jamani kwanini Bunge lisimame wakati kamati yake ya huduma za jamii inalishughulikia suala hilo? Kwanini wabunge wasiwe na subra kusubiri majibu ya kamati?

Labda tujiulize wanataka kujadili nini kuhusu kadhia hiyo? au wanataka wavute muda na kuongeza posho.

Tafadhali wa Tz mnatakiwa kujua muda ni mali sana.

Nawapa pole wale wanaoshabikia issue hii ya mgomo.
 
Alichokifanya Makinda si cha kiungwana kabisa.....Ndio maana Zambi alisema busara zitumike lakini makinda katumia nguvu kubwa sana. Hapa kilichobaki Watanzania ni kumuomba Mungu tu kwani tuliowapa mamlaka ya kutuongoza na kufanya maamuzi wameamua kutusaliti.......\
Tukubaliane toka mgomo uanze nini kimefanyika? Kamati ya Wabunge mbona wapo Dar toka Jana na Madakitari bigwa wameamua kugoma?
Makinda kweli anawadhalilisha wanawake kwani wao wanasema wanaweza wakati wanashindwa kutoa maamuzi kila kiongozi hawezi kutoa maamuzi.........Nasikitika sana.
Mama makinda kaniuzunisha sana......huyu mama hana huruma,sio mama,hana utu,hana ubinadamu kwa kifupi namfananisha na dizaini ya wauaji wa albino.....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom