Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
CCM wamepanic coz wanaumbuka.Kiukweli CDM wamevuruga kabisa mjadala wa mswada maana kila mbunge wa magamba na wake zao wakisimama ni kumjibu Tundu Lissu.
CCM wamepanic coz wanaumbuka.Kiukweli CDM wamevuruga kabisa mjadala wa mswada maana kila mbunge wa magamba na wake zao wakisimama ni kumjibu Tundu Lissu.
Ndugu wana JF, tangu wabunge wa Chadema na NCCR-Mageuzi watoke nje ya Bunge jana kupinga ubabe wa serikali kuendelea kumrundikia rais madaraka makubwa na kumfanya awe mfalme kwenye nchi ya kidemokrasia kinyume na matakwa ya wananchi, bunge limepwaya maana wabunge wengi waliochangia muswada walisahau maada kwa kugeuza mjadala mzima kuwa Chadema badala ya kuonesha strengths au weaknesses za muswada na namna ya kuuboresha. Kwa kweli, ni dissappointment ya hali ya juu sana!
Hii inaonesha wazi kuwa bunge bila wabunge wa Chadema na NCCR-Mageuzi linapwaya sana! Afadhali wangekubali kusoma muswada kwa mara ya kwanza kama wana Chadema, NCCR-Mageuzi, wasomi, wanaharakati na wananchi walivyoshauri. Cha ajabu zaidi wabunge wa CCM A na B including Mrema waliwapiga vijembe wabunge wa Chadema, wasomi na wanasheria.
It's disgraceful!
mkiwa na nyetu kama hjzo jamani mnatuwekea humu tuone laivu, au enzi zao baraza la mitihani hawakuwa na database?Masaburi, Ole Sendeka alipata zero form four, we know
Nimejaribu kufuatilia michango ya wabunge ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania toka jana jioni hadi leo na kugundua kwamba wabunge wengi wamepandwa na jaziba kutokana na hotuba ya kambi ya upinzani na maoni ya washiriki wa Jukwaa la Katiba. Kwa kukosa utulivu, wabunge wameshindwa kutumia muda mfupi walionao kujadili kilichomo kwenye muswada wa kuunda tume ya katiba na badala yake wametekwa na kilichomo kwenye hoja ya kupinga muswada huo kusomwa kwa mara ya pili. Ushauri wangu ni kwamba wabunge wachache wanaondelea na mjadala wachangie kwa utulivu ili wananchi tufaidike na michngo yao mizuri. Tunataka wachangie kutokana na kilichomo kwenye muswada wenyewe, si kwa kilicho nje ya muswada.
Nawasilisha!
political immaturity ni kansa ndani ya CCM.
Masaburi, Ole Sendeka alipata zero form four, we know
Kazi ipo. yaani Chadema wanataka watu waendeshwe na matakwa yao pasi na kupinga chochote.
Huo ni ukondoo ambao Nyerere aliutumia na kulifikisha taifa lenu hapo lilipo.
Sasa ni wakti wa ukweli na uwazi kila mtu ana haki ya kusema na kutoa mchango wa mawazo yake bila kumuogopa mtu yeyote.
Kubalini mabadiliko na mawazo mgongano.
Mbona masheikh wa Bakwata wakisema nyie masheikh wawaislam mnakasirika na kuwakejeli!Kazi ipo. yaani Chadema wanataka watu waendeshwe na matakwa yao pasi na kupinga chochote.
Huo ni ukondoo ambao Nyerere aliutumia na kulifikisha taifa lenu hapo lilipo.
Sasa ni wakti wa ukweli na uwazi kila mtu ana haki ya kusema na kutoa mchango wa mawazo yake bila kumuogopa mtu yeyote.
Kubalini mabadiliko na mawazo mgongano.