Bungeni: CHADEMA yawavuruga wabunge, jazba zatawala na muswada wa katiba mpya haujadiliki

Unajua hawa wanacheza muziki wa chadema kama kawaida yao.wamejipanga kutoa mipasho kwa chadema badala ya kutoa hoja.vilevile nao wana kikao maalum sasa hivi kikiongozwa na spika.
 
Li bulaya si ndio lile lilitoka Disko usiku wa manane na wabunge wa ccm wakaenda kufanya fujo guest house ya Chadema?!

Halina maadili hata kidogo. Liende zake disco huko likasakate lumba hapo bungeni sio mahali pake.

Huyo nafikiri anaitwa Esther Ma*laya na siyo Bu*laya na anawakilishi Ma*laya sio wananchi wa Bunda because
siaawahi kuona MJITA mjinga kama huyu!
 
Ndugu zangu mnaofuatilia mjadala wa katiba, je hao wanajadili katiba au kutukana chadema na mbunge Lissu. Inahitaji moyo kusikiliza. Jamani hivi wabunge wa ccm ndivyo wasivyo kuwa na hoja. Aibu, aibu, aibu. Komba anaropoka hadi kichefuchefu.
umeona eeh.. Nawashangaa. Ni bora mtu aseme tu anaunga mkono hoja kisha akae.. Umemwona Mh. Esta Bulaya? Afadhali Simbachawene katoa elimu ya hicho wanachokiamini. Wengine wooote .... Chademaa,Chademaa, Chademaa,Chademaa....!
 
Ndugu zangu mnaofuatilia mjadala wa katiba, je hao wanajadili katiba au kutukana chadema na mbunge Lissu. Inahitaji moyo kusikiliza. Jamani hivi wabunge wa ccm ndivyo wasivyo kuwa na hoja. Aibu, aibu, aibu. Komba anaropoka hadi kichefuchefu.
Bunge la leo liko kwenye kampeni za kisiasa, wanajadili uchama na wamepuuza utaifa.
 
Wakuu,
Mngekuwa mnatuletea yasemwayo sisi wengine hatuna access na tv!

Hakuna cha maana! Kuna mbunge wa CCM huko Zanzibar anasema CDM iangaliwe kama ina wanachama Z'bar,na anasema hawana haja na CDM ,eti mwisho wa CDM uwe kisiwa cha Chumbe!! Si pumba hizo...
 
CCM MPs are captives of their own identities living in the prisons of their own creation!!!

most of the cannot think beyond the next meal
 
Jamani Bunge limegeuka sehemu ya kupiga kampeni za kisiasa. Na kila mbunge akisimama anasema juu ya CHADEMA na CCM, hata jamaa wa CUF wameonesha dhahiri kuwa wao ndo CCM-A na CCM yenyewe ndo CCM-B. Kazi kweli kweli yaani najilaumu kwa nini umeme wa ofisini unatumika bure kwa kuwasha TV na kuwasikiliza hawa wajinga........ Jamani mi naizima TV linalo na liwe kwa wafanyakazi wenzangu wa ofisini.....
 
Naona anaongea tuuuu na kumfanya Nyerere kama Mungu aliyekuwa Tanzania na ambaye hakuwa na neno au baya lolote kwa Taifa hili.

Anatumia kigezo gani kumsafisha Nyerere milelle kwamba hakuwa na baya lolote ndani ya utawala wake kwa taifa la Tanzania???

Nahisi kukereka na hili Gamba Pevu kwa porojo zisizo na mwelekeo.

Nawakilisha
Ukweli ni kuwa move ya chadema imewachanganya CCM! Hawajui la kufanya! Hawakujiandaa na plan B yao sasa inategemea taarifa za kiitelijinsia hali ya upepo huku nje na namna cdm wanavyoungwa mkono! Mipango ya kuvuruga move ya cdm na wanaharakati inaendelea usiku na mchana! Katiba ni moyo wa ccm! Itatumika kila mbinu kuwavuruga wananchi ili tension ishuke!! Hapa kwenye katiba tunahitaji umakini na kujitoa kuliko wakati wowote wananchi wa taifa hili walivyowahi kujitoa! Tushikamane kwa dhati wachache wasituvuruge!
 
Huko mjengoni wanajadili HOTUBA YA MSEMAJI WA KAMBI YA UPINZANI KWA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA na sio muswada wa Katiba.
 
Katika kile kinachoonesha hoja za chadema zimewashika pabaya wabunge wa CCM na serikali yao, wabunge wa ccm wakkishirikiana na wabunge wa CUF wameamua kuachana na mada inayohusu muswada wa katiba na kukijadili na kukishambulia chama cha chadema na wabunge wake kwa maneno makali na ya kejeli. Sasa kinachojadiliwa ni CHADEMA na sio mswada wa katiba. Hoja ya zanzibar imepotoshwa na kuwafanya chadema waonekane hawataki upinzani. Katika hatua nyingine Mbunge wa kibakwe Simbachawene amewataka watanzania kuwaunga mkono na kuwasikiliza wabunge wa ccm kwani wananchi wamekuwa wakiwasikiliza zaidi wapinzani kuliko wao.
 
Nawashauri ndugu zangu wabunge miokubali kuchakachua na kuendelea kujadili muswada huu hebu mtushawishi ni kwanini watanzania tuwaamini kwamba mnafaa tuendelee kuwaamini tofauti na `wale wa chadema. Nalazimika kusema hivyo kwasababu tangu wabunge makini walipoamua kugomea muswada wabunge wote wametawaliwa na CHADEMA KILA mtu akisimama kuchangia anaizungumzia chadema hebu tuambieni hiyo chadema ni kanuni gani au ni ibara ya ngapi kwenye katiba mnayo jadili? pia naomba mniambie chadema ni sheria ipi mbona mawazo yenu ni chadema. Nilifikiri mngetupa njia bora za kuweza kufikia kupata katiba bora na katiba inayoendana na wakati. Nyie wabunge mlioingia huko ni mambumbu wajinga wapumbavu kama mtashindwa kutushawishi tukaona faida ya nyie nyie hanmna uhalali wa kuwa huko na CHADEMA tuwape heshima na Haki ya kututengenezea katiba mpya
 
wabunge wa ccm wamepanic na matokeo yake wamejikuta wanautukana umma badala ya kuzingatia mswada.
 
wabunge wengi wamechanganywa sana na chadema-hii inaonyesha hoja waliotoa chadema imeshika sana-ndio maana wanajikuta wanazungumzia chadema tu.
mbali na hapo-bunge limegeuka sehemu ya kampeni,maana kila mbunge anayezungumza anaponda cdma na kusema wananchi wahamie chama chake,
mbali zaidi hawa wabunge wa zanzibar walishasema kama zenji ni mzigo kwa tanganyika,ni bora tuwaache kila mtu aende kivyake,kwa maana kama vp ni bora muungano uvunjike,lakini nashangaa wanamjia juu lissu kuwa anataka kuvunja muungano wakati wao wenyewe washaomba hivyo,above all,juz wananchi wao wamepelka ujumbe un,wanataka zenji ijitenge,hivi hawa wabunge wa zenji wanawakilisha wananchi wapi?mbona hoja za wananchi na wabungen wao zinatofautiana?mbona wanakuwa vigeugeu hivi?
 
nimekuwa nikifuatilia bunge na nimeona ni jinsi gani wabunge walipotoka bungeni mafisadi na matajiri wamekosa hoja za kujadili na matokeo yake wamebadilisha muswada wa katiba na kujadili hoja ya wabunge wa chadema kutoka bungeni.nashauri wakishamaliza kujadili hoja ya wabunge kutoka nje ya ukumbi sasa muswada wa katiba uje usomwe kwa mara ya kwanza na ya pili ili tuweze kujadili hoja yetu. nilichojifunza nii kwamba wabunge makini ni wale wa CHADEMA wanao weza kujadili hoja na mawazo badala ya hawa dhaifu wanaojadili watu.
 
Back
Top Bottom