Bunge litunge sheria ya vyama kuungana na kuunda Shirikisho kama ilivyo Azimio kule Kenya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Kuna mambo siyo lazima yasubiri Katiba mpya bali yanaweza tu kutungiwa sheria katika bunge la sasa

Nimefurahishwa sana na namna CCM na Chadema walivyofungua pazia la Siasa za kistaarabu na kushikamana katika lile kongamano la Bawacha

Ni vema sasa iundwe sheria ya vyama kuungana kama ilivyo kwa Ndugu zetu wa Kenya Kwanza na Azimio kule Kenya

Mungu ni mwema Wakati Wote!
 
Back
Top Bottom