Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,907
Sasa ndugu mshahara ni nini? Kote kwenye Utumishi wa umma hiyo basic ndio salary ila posho haihusiani na hakuna sehemu yoyote ambako watumishi hata wa kawaida wanalipwa posho ikakatwa kodi.Ghafla nimeanza kuona umuhimu wa Katiba mpya.
Kamati ya bunge inashindwa kuelewa tofauti ya basic salary na total salary?
Jerry alisema mshahara wa mbunge haukatwi kodi, je posho ya mafuta, posho ya kutembelea jimbo siyo sehemu ya mshahara wa bunge?
Wataalamu wa Chuo cha kodi na wale wa IFM mkuje hapa mnielimishe.
Mimi ni shahidi wakati mwingine unalipwa posho kubwa zaidi ya mara 2 ya basic na hakuna kodi,kwa hiyo wako sahihi.