Bunge linapaswa kutoa tafsiri ya Mshahara ili kumtendea haki Jerry Slaa. Basic salary ndio mshahara?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,130
144,113
Ghafla nimeanza kuona umuhimu wa Katiba mpya.

Kamati ya bunge inashindwa kuelewa tofauti ya basic salary na total salary?

Jerry alisema mshahara wa mbunge haukatwi kodi, je posho ya mafuta, posho ya kutembelea jimbo siyo sehemu ya mshahara wa bunge?

Wataalamu wa Chuo cha kodi na wale wa IFM mkuje hapa mnielimishe.
 
Katiba (mpya) ndo ina set salaries?
 
Ghafla nimeanza kuona umuhimu wa Katiba mpya.

Kamati ya bunge inashindwa kuelewa tofauti ya basic salary na total salary?

Jerry alisema mshahara wa mbunge haukatwi kodi, je posho ya mafuta, posho ya kutembelea jimbo siyo sehemu ya mshahara wa bunge?

Wataalamu wa Chuo cha kodi na wale wa IFM mkuje hapa mnielimishe.

Wabunge ni walafi ,Allowances zinakatwa kodi mfano House/Transport/Airtime zikiingizwa kwenye salary zinaliwa kodi ,hata kama umefanya Overtime zinakatwa kodi ,kwanini Allowances za wabunge hazikatwi kodi?
 
Ghafla nimeanza kuona umuhimu wa Katiba mpya.

Kamati ya bunge inashindwa kuelewa tofauti ya basic salary na total salary?

Jerry alisema mshahara wa mbunge haukatwi kodi, je posho ya mafuta, posho ya kutembelea jimbo siyo sehemu ya mshahara wa bunge?

Wataalamu wa Chuo cha kodi na wale wa IFM mkuje hapa mnielimishe.
Tafsiri ya mshahara ipo kwenye dheria Employment and Labour Relations Act
 
Ghafla nimeanza kuona umuhimu wa Katiba mpya.

Kamati ya bunge inashindwa kuelewa tofauti ya basic salary na total salary?

Jerry alisema mshahara wa mbunge haukatwi kodi, je posho ya mafuta, posho ya kutembelea jimbo siyo sehemu ya mshahara wa bunge?

Wataalamu wa Chuo cha kodi na wale wa IFM mkuje hapa mnielimishe.
Kweli wataalam wakuje huku. Wabunge wanatetea maposho yao eti sio mshahara.
 
Ingependeza kukawa na tozo kwenye posho za wabunge, wazo la mbuge Jerry bado ni zuri kwa wasio na mitazamo hasi. Tozo ya posho na marupupuru ya Wabunge.
 
Wenyewe serikalini wana circular, paye ikatwe kwenye basic salary tu, ila kwa private sector, paye inapigwa kwenye Gross. Sijui kama ndo maagizo ya serikali pia au ndo labour law inavyosema.

Ila bunge likichukuliwa kama private sector, nchi itaingiza zaidi ya 1bn kwa mwezi kwa kodi.
 
Ila kupitisha hii kodi mpya ya miamala nitawachukia wabunge wote wa bunge hili milele daima,hata kama kwa kupitia tozo hizo watajengea barabara inayopita mbele ya nyumba yangu

Kilindoni
hizo fedha zinaishia mifukoni ujue. fanya tasmini kwa siku 1 tu wanakusanya tozo za miamala kwa watu milioni 2 na zaidi, kwa shilingi 100 mtu mmoja mmoja hii ela ya chini kabisa kuna wanaokatwa zaidi ya hiyo wakifanya muamala.kwa mwezi unadhani inakusanywa shingapi yaaani kama viongozi wetu wanadhamila ya kweli kutuletea maendeleo kupitia kodi hizi ndani ya mwaka tu kila kona barabara za kiwango, hospitali za kisasa , shule bora kabisa zitajengwa au kuboresha zilizopo, vituo vya polisi vya kisasa nk, nk,nk. ila si kwa serikali hii, serikali hii hata ikikusanya tilioni 2 kwa siku hakuna jipya hakuna mabadiliko
 
Back
Top Bottom