Bunge laimaliza nchi, watanzani hoi ..!

Makomu

Member
Sep 28, 2011
27
3
mamilioni ya watanzania yaendelea kupotea kuwalipa wabunge ambao wanapoteza muda kujadili watu/chama kinachowatoa jasho badala ya kujadili maswala ya msingi ya kitaifa eg muswada wa katiba. Tuwe macho watanzania hawa watu hawathamini lile tulilowatuma nalo huko. Hawajui wajibu wao tena, tuwawajibishe.!!!!
 
Back
Top Bottom