Bunge la Tanzania halina heshima: CCM

Ntaramuka

Senior Member
May 2, 2008
169
27
Spika Makinda ameliambia bunge kuwa ana ujumbe mwingi kutoka kwa wananchi wakilalamikia mwenendo wa bunge kuwa halina heshima, wabunge wanabishana na kuzozana sana! Mimi jamani, labda mimi nina matatizo, nifurahia sana hili bunge, jinsi wabunge wanavyobishana kwa hoja na pale CCM wanapotaka kutumia wingi wao kuukandamiza upinzani, wapinzani, wakiongozwa na CDM wanapambana kuhakikisha haki inatendeka. Sasa mtu anayesema bunge halina heshima anataka liweje? Aluta continua CDM na wapenda haki wote bungeni, bunge linanivutia sana!
 
ujinga wa hawa akina makinda bd wana dhana ile ya bunge la chama kimoja, nidhamu ya uoga! Kweli ingekuwa tupo iraq au afaghanistan, ningenunua sniper, wa kwanza ni bi kiroboto, kwa karibu sana Lukuvi halafu werema!
 
Nahisi ujumbe mwingi ni kumtaka yeye asimamie kanuni za Bunge sasa anasingizia wabunge. Hivi kubishana huko ni kuvunja kanuni za Bunge? Kama wanavunja kwa nini wanafanya hivyo? Je, kiongozi wao ambaye ni Makinda anafaa kweli? Je, hao wananchi hajampa ujumbe kulinganisha na Bunge lililoongozwa na Sam Six?
 
wadau mwenye namba ya sim ya spika na mimi nitume dukuduku langu hasa kwa Lukuvi mzee mwongozo.!!!
 
naombeni kuuliza...hivi wabunge wasipokua na imani na spika ni njia zipi wanaweza kuchukua kumg'oa madarakani? coz huyu mama ni one of the weakest speakers in the history ya bunge letu ni mbaguzi na anapendelea upande mmoja both yeye naibu wake na wenyeviti...
 
Atashangaa siku moja akiona wakina mwigulu wanapigwa ngumi live, ndo atatia akili. Anataka heshima ya bunge la kusema ndiyoooooo. Nonsensi.
 
kamanda wa anga mbowe baada ya uchaguzi mkuu alisema kwa idadi ile ya wabunge wa cdm watanzania watarajie utamu wa siasa . na kweli utamu wa siasa tunauona jinsi kina mwigulu, lusinde, lukuvi, werema na wengine mapovu yanavyowatoka. hongera cdm watanzania tunaona bunge lina mvuto.
 
Yeye ndiye anaye sababisha haya yote kwa double standard zake
 
Mi namshangaa sana Bi.Kiroboto..Bunge likikosa heshima anapaswa ajue kuwa yeye pia ni dhaifu...Apate uzoefu kutoka kwa mzee wa viwango..,si wapo nae karibu?amuhoji na yeye pamoja na kina MAPUMBA na ofisi nzima wabadilike japo kidogo..
 
Bunge mbona zuri tu yeye bi kiroboto ndo sio mzuri analiharibu.na bado inabidi tuongezeke tuwe wengi ikibidi tuwachape mikono kabisa hao wachache watakaokuwa wamebakia.
 
Yani huku Bibi na wenzake wanaomtumia ujumbe cjui wanataka heshima gani! Jamani mtu kuhoji ufisadi, mauaji ya kinyama ya raia yanayofanywa na police, dhuluma kwenye migodi nk, mtu huyu c anaheshimu sheria, ubinadamu, haki nk?
 
Spika Makinda ameliambia bunge kuwa ana ujumbe mwingi kutoka kwa wananchi wakilalamikia mwenendo wa bunge kuwa halina heshima, wabunge wanabishana na kuzozana sana! Mimi jamani, labda mimi nina matatizo, nifurahia sana hili bunge, jinsi wabunge wanavyobishana kwa hoja na pale CCM wanapotaka kutumia wingi wao kuukandamiza upinzani, wapinzani, wakiongozwa na CDM wanapambana kuhakikisha haki inatendeka. Sasa mtu anayesema bunge halina heshima anataka liweje? Aluta continua CDM na wapenda haki wote bungeni, bunge linanivutia sana!

Tena hata adabu halina, upendeleo wa wazi wazi kwa wabunge wa CCM. Na maneno ya kihuni ya akina Ndungai, yanaprovoke wabunge. Nidhamu itatoka wapi. Jifunzeni kwa Sita na angalau Zungu. Wengine bure kabisa. Ukishakuwa K/Kiti inabidi uvue ushabiki, mambo yatawashinda, na mtaingia katika record chafu ya Uspika na Uenyekiti. Mmeharibu viwango vya Sita.

Natumai CDM mkichukua uspika hamtafanya makosa ya kipuuzi kama haya. Tunataka viwango.
 
Mi namshangaa sana Bi.Kiroboto..Bunge likikosa heshima anapaswa ajue kuwa yeye pia ni dhaifu...Apate uzoefu kutoka kwa mzee wa viwango..,si wapo nae karibu?amuhoji na yeye pamoja na kina MAPUMBA na ofisi nzima wabadilike japo kidogo..


Mdau , ndugu yangu;hili tatizo ni la kimakakati kiccm, ni hofu ya ya kuona kasi ya hoja nyingi zinazoibua kero za wananchi ambazo ccm ndo chanzo na haijafanyia kazi aidha ni ufisadi au ni uzembe au ni sera mbaya na watendaji wabovu wanaolindwa na serikali.Tukumbuke bunge ni chombo muhimu kama muhimili wa kuwasemea wananachi kwa masilahi ya kitaifa.Lakini xaxa bunge linaonekana ni kwa masilahi ya ccm na sera zake na itikati ya kulinda wachache.Hivyo hata kama kutakuwa na kanuni nzuri namna gani usimamizi wake utakuwa wa werema na ujaji wake kumfundisha lukuvi asimamie kanuni, badala ya bunge nzima kuheshimu , akiwawemo spika, naibu spika na namwenyeviti wote alowemo na mapumba.
 
huyu bi kiroboto na hao wasidizi wake isipokua mh zungu hamna kitu kabsa
 
Nadhani kwenye bunge letu bado WATAWALA hawapendi kuona serikali inakosolewa. Nidhamu inayotajwa hapa ni kukosoa Serikali kama kusema Waziri kadanganya, Rais dhaifu nk.

Ikumbukwe kuwa ni wajibu wa wabunge kusimamia serikali.

Bado bunge letu lina nidhamu sana kulinganisha na mabunge mengine. Angalia hapa.




na


au hii

 
Last edited by a moderator:


Mdau , ndugu yangu;hili tatizo ni la kimakakati kiccm, ni hofu ya ya kuona kasi ya hoja nyingi zinazoibua kero za wananchi ambazo ccm ndo chanzo na haijafanyia kazi aidha ni ufisadi au ni uzembe au ni sera mbaya na watendaji wabovu wanaolindwa na serikali.....

Pia ni lazima Mdada, sijui Mbibi, atambue kwamba huwezi kupinga kitu au kukemea maovu kwa kujichekesha, ni lazima uonyeshe wazi kuwa kuna kero na wanaosikiliza wajue kuwa kuna hatua ni lazima zichukuliwe.

Hakuna heshima kwa sababu wanataka kufunga midomo ya watu. Heshima ya kumchekea mtu anayeharibu haina nafasi katika Tanzania ya sasa. Tunataka ukweli, tunataka haki itendeke, kama anataka heshima, nyumabni kwake na siyo katika ukumbi wa kujadili issues zetu. Bunge halijakosa heshima, watu wanajaribu kutoa hisia zao, na kila mtu ana namna yake ya kueleza hisia zake.

Yeye mdada/ Mbeibi anatakiwa kuwa kiongozi mzuri, amsikilize kila mtu kwa nafasi yake, akijaribu kuzima hoja hayo ndio matokeo yake.Spika gani toka bunge lianze amechangia zaidi ya 581, wakati anayefuatia yuko kwenye 231 kama sikosei hii ina maana spika huyo kawa mwongeaji zaidi kuliko wengine wote.

Anatumia muda mwingi kufafanua vitu ambavyo havina maana, ambavyo kila mtu anavijua, badala ya kuwapatia wabunge nafasi ya kujadili hoja. mara nyingi utaona anasifia baadhi ya wabunge wake baada ya kutoa hoja na kuwaponda wale wa upande mingine. utasikia eti " wewe ... umewakilisha vizuri sana wananchi wako na kwa kuzingatia muda, na siyo alivyofanynya ..., hapa ni Bungeni ..." Jamani, ndiyo kazi ya spika hiyo?

Hata vijembe, kama hamjamfuatilia, yeye ndiye kinara wa vijembe, anavyooona watu wanafanya reaction, anajidai eti wananchi wanamtumia ujumbe, sisi tunamwomba awe mkweli, aongoze wabunge zaidi kuliko kulalamika.
 
Nashauri watanzania tuliopo nje ya bunge tuendelee kupinga yanayofanywa na spika,lukuvi na werema mpaka wataelewa tu kuwa hatutaki upuuzi wao,kwa wananchi wa majimbo ya lukuvi,mchemba,wenyeviti na naibu spika wahakikishe watu hawa hawarudi bungeni ni kikwazo kwa maendeleo binafsi sina chama lkn nimewachoka
 
Back
Top Bottom