BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

Bunge la ajabu kabisa hili.
lime contain mpaka vibaka wa simu, laptop sijui wake za watu kama watasalimika.
 
Hizo ndizo athari za kujaza bungeni wabunge wenye mitazamo inayofanana, wanasumbua sana nchi hawa watu! maana wakishakuwa wengi hawawi tena wawakilishi wa wananchi bali wanakuwa ni wawakilishi wa chama.

Next time wananchi akili kichwani sasa, nadhani tumejionea wenyewe jinsi hao raia wanavyotusumbua!

Yaani hata kwenye mambo ya msingi kama haya wao wanaleta ushabiki wa kipuuzi?

So next Uchaguzi, ndugu wananchi mwendo ni hivi: NCCR 20 Mps, TLP 20 Mps, UDP 20 Mps, CUF 20 Mps CCM 20 Mps, CHADEMA 20 Mps, na vyama vingine kadri itakavyokuwa.

Si lazima iwe idadi hiyo niliyoisema la! ila hapa najaribu kuzungumzia an equal distribution of seats in the house of Mps, hii ndio italeta heshima, sio hawa wanatusumbua akili zetu utadhani hii nchi ni yao tu bhana! Hawezekanii! Lazima ifike hatua mtu uwe na msimamo binafsi hasa katika mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom