MWANA WA DAUDI
Member
- May 12, 2011
- 46
- 7
Wadau,
Leo nimesoma makala kurasa za mwisho mwisho ktk gazeti la Rai la wiki iliypita ( siyo la jana) kuwa kuna mjadala wa kichini chini kwamba bunge lisioneshwa live ili kupunguza aibu ya serikali inayotokana na wapinzani haswa CHADEMA. Ieleweke kuwa mwandishi wa makala naye ameliweka kama tetesi.
Mwandishi amejenga hoja ktk mfumo wa uandishi wa kichokonozi. Wengine wanaweza kuisoma gazeti hilo. Hizi tetesi ningezikuta ktk gazeti jingine nisingezileta humu Jf. Rai naiheshimu sana.
Fufununu hizi zinakuja wiki chache baada ya mbunge wa CCM kuonesha nia ya kutaka kupeleka hoja binafsi bungeni ili kuondoa maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu kwamba hayana tija.
Nawasilisha.