Bundi katua Nyumba ya Jirani, Katibu wa Wilaya (CHADEMA) Lindi ajiunga na CCM

Hiyo ni dhambi ya mbowe kukiuza chama cha demokrasia na maendeleo kwa fisadi lowassa na mpaka watubu kwa wananchi na wamfukuze mamvi ndipo dhambi hiyo itawatoka la sivyo imekula kwao daima na CCM itabaki milele madarakani
Hajakiuza, kawekeza mtaji wa kisiasa. Faida utaiona kuanzia oct 25.
 
Juliana kama wewe ndo unategemea kuwa mbunge Viti maalum kupitia mkoa wa songwe ccm basi imekula kwetu wanasongwe maana hujuwi kujenga hoja. Huko mjengo itakuwaje ndugu yangu!
 
Siasa za kipumbavu kabisa, wewe Juliana Shonza siasa za chadema zinakuathiri vipi hadi uwe unawasema sana? yaani kwako kila habari unayoileta hapa ni chadema na viongozi wao mbona husemi yako?
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingine ukiona nimepost habari usikimbilie ku-comment kabla ya kusoma kwa umakini na kuelewa.,ona unavyoaibika sasa, aliyehama ni Katibu wa CHADEMA ambae ndio mpiga debe wa BARUAN ambaye ni mbunge wa CUF...sasa unasemaje habari inahusu CUF..habari inamuhusu KATIBU WA CHADEMA...hiyo kuwa mpigadebe ni taarifa ya ziada ni sawa ningesema kuwa KATIBU WA CHADEMA mwenye watoto wawili wa kiume, then wewe unakuja hapa kusema mbona habari zenyewe zinahusu watoto wawili wa kiume..!!!

Ila ni kazi yangu kuwanyoosha..
Jitahidi mama ili upate viti maalumu maana Mtela Mwampamba chaki inamhusu biashara ya umbea imemshinda.
 
Siku nyingine ukiona nimepost habari usikimbilie ku-comment kabla ya kusoma kwa umakini na kuelewa.,ona unavyoaibika sasa, aliyehama ni Katibu wa CHADEMA ambae ndio mpiga debe wa BARUAN ambaye ni mbunge wa CUF...sasa unasemaje habari inahusu CUF..habari inamuhusu KATIBU WA CHADEMA...hiyo kuwa mpigadebe ni taarifa ya ziada ni sawa ningesema kuwa KATIBU WA CHADEMA mwenye watoto wawili wa kiume, then wewe unakuja hapa kusema mbona habari zenyewe zinahusu watoto wawili wa kiume..!!!

Ila ni kazi yangu kuwanyoosha..

uliondoka wewe makamu wa bavicha chama hakikuyumba sembuse katibu wa tawi! shame
 
Hivi nyinyi mbona hampati picha?? Kaondoka katibu Mkuu wa taifa na bado tunasonga mbele kwa nguvu ..sembuse huyo?? Yeye nani?? Mko wagumu sana kuelewa kinachotokea.
 
CHADEMA ni kawaida yao kukosea..kama CHADEMA isingelikuwepo ulimwenguni basi KUKOSEA kusingeliumbwa.

Ona walivyokosea hata sasa, Mgombea Urais amepatikana kwa dharura, rejects wa kudumu ndani ya CCM kwao imekuwa CHUNGU kaona ganda la muwa la jana.

Katibu Mkuu wenu amekuwa wa dharura, na kila mnalofanya mnakosea...poleni.

Unatokwa poooovu, kwa hiyo we kwa uelewa wako unadhani baruani atashindwa? Bure kabisa wewe.
 
Mvivu wa kufikiri duniani anatokea tanzania naye si mwingine ni juliana shonza. Kweli ccm na chadema nani bingwa wa kukosea. Shame upon your back
 
Siasa ni mchezo wa maslahi, sasa nimemuelewa Juliana Shonza.Kitambo nilikuwa sijamsoma lakini baada ya uhuni aliotufanyia Mbowe juzikati wa kubadilishia gia angani huku mazwazwa wakishangilia nd'o niliona rangi halisi ya mkuu chama letu.
 
Back
Top Bottom