Bundi katua Nyumba ya Jirani, Katibu wa Wilaya (CHADEMA) Lindi ajiunga na CCM

CCM ni kama maji, wasipoyanywa, watapikia, wasipopikia, watafuli, wasipofulia, wataoga
 
Siku nyingine ukiona nimepost habari usikimbilie ku-comment kabla ya kusoma kwa umakini na kuelewa.,ona unavyoaibika sasa, aliyehama ni Katibu wa CHADEMA ambae ndio mpiga debe wa BARUAN ambaye ni mbunge wa CUF...sasa unasemaje habari inahusu CUF..habari inamuhusu KATIBU WA CHADEMA...hiyo kuwa mpigadebe ni taarifa ya ziada ni sawa ningesema kuwa KATIBU WA CHADEMA mwenye watoto wawili wa kiume, then wewe unakuja hapa kusema mbona habari zenyewe zinahusu watoto wawili wa kiume..!!!

Ila ni kazi yangu kuwanyoosha..

Duuu!!! . Yaani CCM leo imekuwa masikini wa wanachama kiasi hicho? Lakini sishangai maana viongozi wenyewe ndio hao akina Juliana na Kibajaji. Ama kweli huu ndio mwisho wenu CCM.
 
Hapa ni GT hivyo mtu unapo leta habari yako inabidi iwe imekamilika na tunamuomba shonza atwambie ukweli

Kweli kamanda hapa ni GT bahati mbaya wewe ni Gurunzi hufai ata kwa kupigia mswaki umejaa utomvu.. kinyaaaa
 
Hiyo ni dhambi ya mbowe kukiuza chama cha demokrasia na maendeleo kwa fisadi lowassa na mpaka watubu kwa wananchi na wamfukuze mamvi ndipo dhambi hiyo itawatoka la sivyo imekula kwao daima na CCM itabaki milele madarakani

haa haa kwa hiyo kakimbia kwa fisadi mmoja kahamia kwa mafisadi kumi. duh ulimwengu una mambo...
 
Juliana Shonza,hata habari iwe wazi na nzuri vipi,wewe huiharibu kwa ushabiki. Halafu,CHADEMA imekukaa kweli. Eti kwa uelewa na uwezo wako huo ulikuwa Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa. CHADEMA nao walikosa wakuwachagua

Ukiona wapendanao wameachana na mmoja anamtaja taja mwenzake ujue bado roho inamuuma
 
Last edited by a moderator:
Duuu!!! . Yaani CCM leo imekuwa masikini wa wanachama kiasi hicho? Lakini sishangai maana viongozi wenyewe ndio hao akina Juliana na Kibajaji. Ama kweli huu ndio mwisho wenu CCM.

Ccm wamefilisika kila pahala
 
hako ni kadagaa kadogo sana wakati ninyi mnakavurahia hako kadagaa mjiandae na kilio week end hii PROF MWAND...a atakapotangaza rasmi kuungana na wanamageuzi viva CHADEMA VIVA UKAWA
 
hako ni kadagaa kadogo sana wakati ninyi mnakavurahia hako kadagaa mjiandae na kilio week end hii PROF MWAND...a atakapotangaza rasmi kuungana na wanamageuzi viva CHADEMA VIVA UKAWA
Magamba wameoza kabisa
 
Back
Top Bottom