maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Huyo ni mamluki nafuu kaondoka UKAWA.
Kwa mfano.,wewe ungekuwa mtumishi ama mtendaji wa CHADEMA ungebaki..???
Sidhani kama wewe una uwezo wa kuwanyoosha. Hata Slaa kagonga mwamba we ndo utaweza? Kuhama ni haki ya mtu anapoona inafaaSiku nyingine ukiona nimepost habari usikimbilie ku-comment kabla ya kusoma kwa umakini na kuelewa.,ona unavyoaibika sasa, aliyehama ni Katibu wa CHADEMA ambae ndio mpiga debe wa BARUAN ambaye ni mbunge wa CUF...sasa unasemaje habari inahusu CUF..habari inamuhusu KATIBU WA CHADEMA...hiyo kuwa mpigadebe ni taarifa ya ziada ni sawa ningesema kuwa KATIBU WA CHADEMA mwenye watoto wawili wa kiume, then wewe unakuja hapa kusema mbona habari zenyewe zinahusu watoto wawili wa kiume..!!!
Ila ni kazi yangu kuwanyoosha..
Siku nyingine ukiona nimepost habari usikimbilie ku-comment kabla ya kusoma kwa umakini na kuelewa.,ona unavyoaibika sasa, aliyehama ni Katibu wa CHADEMA ambae ndio mpiga debe wa BARUAN ambaye ni mbunge wa CUF...sasa unasemaje habari inahusu CUF..habari inamuhusu KATIBU WA CHADEMA...hiyo kuwa mpigadebe ni taarifa ya ziada ni sawa ningesema kuwa KATIBU WA CHADEMA mwenye watoto wawili wa kiume, then wewe unakuja hapa kusema mbona habari zenyewe zinahusu watoto wawili wa kiume..!!!
Ila ni kazi yangu kuwanyoosha..
Mbona hujaa muambia why watu wanakimbia ccm?wanakimbia Mawaziri wakuu atakuwa huyu mwenyekiti wa mtaa?Tatizo kubwa ni uelewa wako mdogo maana ungejiuliza kwanini watu wanakimbia kila siku chadema sidhani kama ungesubutu kucomment hivi.....tafakari then chukua hatua CCM chama Imara Afrika.