MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Dear wapendwa I hope mu wazima: Nina dukuduku
I know kuwa as watanzania tunatakiwa kuonyesha uzalendo kwa kusupport kazi za watanzania wenzetu. Leo MwanajamiiOne nazungumzia swala zima la kutafuta vipaji vya wanamuziki Tanzania linalofanywa na Benchmark Production Company inayoongozwa sijui kumilikiwa na Madame Rita .
Pengine nimekuwa Brain washed na kile kinachofanyika kwenye Tursker Project Fame lakini I believe BSS they are not serious. Leo nimekuwa nikiangalia na kusikiliza comments zitolewazo na majudge nikashangaa sana na kujiuliza
1. Hawa majudge wana elimu gani ya muziki (tukilinganisha na wale akina Ian wa Tusker Project fame)? Kama hawana elimu yoyote juu ya muziki imeshindikana kutafuta walimu wa muziki au watu wenye elimu ya muziki na kuwafanya majudge ambao watacritisize critically kwa nia ya kuwajenga washiriki badala ya kuishia kuwasifia tu mara umependeza, una macho mazuri sijui sura yako inauza e.t.c. (I wonder why Mr. Kitime is no longer there)
2. Nimesikitishwa sana na uwezo wa madame Rita kama judge ambaye ameshindwa hata kujua mziki uliokuwa unaimbwa kwa style ya kurudiwa/ copiwa na washindani wa BSS umeimbwa na nani?? hiki nimekinote baada ya maonyesho ya leo ambapo mshiriki Waziri Salum aliimba wimbo wa Amoure wa Kassim Mganga na Madame Rita kuufagilia kwa kusema ni wimbo uloimbwa na Baby Madaha ambaye ni zao la BSS. Hatukatai kuwa naye ana wimbo uitwao Amoure but sio ulioimbwa na mshiriki Waziri.
Najiuliza BSS iko kuinua vipaji seriously kama ifanyavyo Tusker Project Fame au inafurahisha umma??