Browser ipi ni nzuri kwa simu opera mini au uc web browser

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
jamani nilikuwa naomba tuzicompete hivi vitu hivi browser ipi ni nzuri kwa mambo y a intanet kwenye simu za kisasa
 
jamani nilikuwa naomba tuzicompete hivi vitu hivi browser ipi ni nzuri kwa mambo y a intanet kwenye simu za kisasa

uc browser nzuri kwenye ku download lkn opera ipo poa zaidi sekta zote isipokuwa nyuma kidogo kwenye downld manager
 
Kutokana na uzoefu wangu na pia reviews kutoka site mbali mbali nilizotembelea nadhani opera mini ni the best
 
kubrowse kawaida kama mambo ya email na nini opera iko lakini kama wewe ni mtu wa kudownload sana basi uc browser inakufaa sana..haina tofauti kubwa sana na opera kwenye maswala mengine pia..ila siyo mbaya ukiwa nazo zote katika simu yako
 
jamani nilikuwa naomba tuzicompete hivi vitu hivi browser ipi ni nzuri kwa mambo y a intanet kwenye simu za kisasa

Huwezi kushindanisha kihivo yani general kila moja inamzidi mwenzake

Mfano uc hairuhusu kupoteza data zako kila unavoitumia inafanya backup ya data zako ila opera haina.

Opera inafanya compresion kubwa kuliko uc

Uc ina built in streaming inayoruhusu kuangalia streaming za youtube wakati opera haina

Version ya opera ya java ni strong compare na ya uc ambayo mpaka ya symbian ndo nzuri

Download manager ya uc ni nzuri kiasi ina resume hata uki exit application wakati operamini kuna hatari ya download kupotea ukiexit

Opera ya symbian ina javascript nzuri inayosupport file sharing website kama 4shared file sonic na fileserve ila ucweb haina

Ucweb ni nzuri kwa simu zisizo na copy and paste (kama baadhi ya samsung) maana inaziwesha kukopy ila operamni hadi version kubwa ndo utaweza copy (kuanzia 5)

Operamnini ina account online unayoweza kusync online vitu kama bookmarks wakati ucweb haina

So naona inategemea na matumizi yako ni vizuri uwe nazo zote mbili kwenye simu
 
Back
Top Bottom