Baada ya kugundua Google chrome inakusanya taarifa zangu nyingi niliwahama, ni mwaka wa pili sasa natumia Brave Browser.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu.

  • Google chrome ukiitumia historia yako ya kila kitu ulichosechi kitaonekana,
  • Google chrome inatunza passwords za mitandao yote unayoingia
  • Google chrome wanauza taarifa zangu binafsi kwa makampuni ya matangazo (location, jinsia, umri, elimu, vitu navyosechi, n.k)
  • Google chrome ina matangazo kibao,
  • n.k.

Chukulia mfano hata humu Jamiiforums hatupendi kufichua identity zetu, kuna watu hii nchi wanaweza kutumia vyeo vibaya (corruption9 kurenew laini yako ili kureset password ya email yako, wakizama ndani ya email wanaona passwords, usernames zako za mitandao kama jamiiforums na facebook, vitu unavyosechi, n.k.

Kiufupi mtu akipata namba yako ya simu akaingia kwenye email yako anaweza kupata passwords zako zote na kujua unachofanya mtandaoni

Kwa sasa nimehamia brave browser na wala sijutii kuchukua uaamuzi huu
  • Hali ya usiri ni kubwa na kunifanya niwe huru
  • Matangazo ni machache sana, mengi yanablokiwa
  • speed ya kuperuzi ni kubwa kuzidi chrome
  • inatumia bando kidogo kuzidi chrome
 
Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu.

  • Google chrome ukiitumia historia yako ya kila kitu ulichosechi kitaonekana,
  • Google chrome inatunza passwords za mitandao yote unayoingia
  • Google chrome ina matangazo kibao,
  • n.k.

  • Kwa sasa nimehamia brave browser na wala sijutii kuchukua uaamuzi huu
    Hali ya usiri ni kubwa na kunifanya niwe huru
  • Matangazo ni machache sana, mengi yanablokiwa
Fear of the unknown...
Kuhifadhi password ni uamuzi wako kukubali au kukataa...
Kama unataka isiweke kumbukumbu ya unachofanya unatumia icognito mode hata wao kama unafanya na project zao sensitive kwa mfano kwa datacompute platform inarun kwenye icognito.
Matangazo ndio biashara yao kubwa, bila matangazo hakuna Google na hawawezi kufund services zao ambazo unazitumia bure, so matangazo ni lazima.
Kwa sasa personally, siko sensitive na data zamgu kihivyo maana hata hayo matangazo yenyewe wanayoleta huwa hayana impact kwamgu.
 
Uzi ungeishia hapa tu
 
wengine tunataka kuzihifadhi bila kuchunguzwa
 
Kuzihifadhi bila kuchunguzwa kiaje? Hiyo option ni uamuzi wako kuiset iwe inaweka kumbukumbu zake. Mimi nina platform zaidi 250 ambazo inabidi nikumbuke password zake luckily hiyo google passwords inanisaidia kuzinkumbuka. Kwenye platform nyingine nimeweka layer ya google aunthentification so mpaka niweke code inayotokea kwenye authenticate.
Matangazo ndio njia yao ya kukupa huduma za bure. Youtube ya kulipia ambayo haina matangazo sidhani kama.kuna mtz anaitumia na kama wapo sijui hata kama wanafika 1000.
 
kwa brave naweza kuhifadhi password zangu zote bila kuchunguzwa, chrome ukitunza password wanazitunza na wao, google kuna mambo kibao wanakusanya bila hiari yako.

Matangazo ya Youtube siyajui tangu mwaka juzi nilipohamia Brave, video naicheki bila usumbufu wowote
 
Password za google zinahifadhiwa kwenye google passwords hii inakuruhusu kuweza kuziaccess via any browser iwe computer au simu as long as umeweka hiyo acc kwenye browser. Pia itakupatia history ya website ulizokuwa unatembelea as long as umelogin kwa kuweka hiyo acc. Mimi nina pc tatu, ntakachofanya kwenye pc moja naweza kukiona kwenye pc nyingine au kwa simu. Hilo ndilo lengo lao na kama hutaki wamekuwekea icognito mofe ambayo haiweki kumbukumbu ya chochote. Bado pia password kuzisave ni uamuzi wako hata bila kutumua icognito mode.
Sasa hebu nieleze hao brave hizo passwprd wanazihifadhi kwenye local storage au cloud? Kama ni cloud basi sioni tofauti yao na google maana wana access nazo bila shaka.
 
Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu.

  • Google chrome ukiitumia historia yako ya kila kitu ulichosechi kitaonekana,
  • Google chrome inatunza passwords za mitandao yote unayoingia
  • Google chrome wanauza taarifa zangu binafsi kwa makampuni ya matangazo (location, jinsia, umri, elimu, vitu navyosechi, n.k)
  • Google chrome ina matangazo kibao,
  • n.k.

Kwa sasa nimehamia brave browser na wala sijutii kuchukua uaamuzi huu
  • Hali ya usiri ni kubwa na kunifanya niwe huru
  • Matangazo ni machache sana, mengi yanablokiwa
  • speed ya kuperuzi ni kubwa kuzidi chrome
  • inatumia bando kidogo kuzidi chrome
Acha kujikweza, Google wachukue taarifa za vinyangarakasha vya Kinondoni! Lsbda Tik Tok.
 
Password za google zinahifadhiwa kwenye google passwords hii inakuruhusu kuweza kuziaccess via any browser iwe computer au simu as long as umeweka hiyo acc kwenye browser. Pia itakupatia history ya website ulizokuwa unatembelea as long as umelogin kwa kuweka hiyo acc. Mimi nina pc tatu, ntakachofanya kwenye pc moja naweza kukiona kwenye pc nyingine au kwa simu. Hilo ndilo lengo lao na kama hutaki wamekuwekea icognito mofe ambayo haiweki kumbukumbu ya chochote. Bado pia password kuzisave ni uamuzi wako hata bila kutumua icognito mode.
Sasa hebu nieleze hao brave hizo passwprd wanazihifadhi kwenye local storage au cloud? Kama ni cloud basi sioni tofauti yao na google maana wana access nazo bila shaka.
Wengine hatupendi passwords zetu zitunzwe huko google kwa sababu mtu akipata access ya emaila yako tu anaweza kuona mambo mengi yanayohusu privacy yako,

Kwa brave huna haja ya kuingia incognito, waweza kutumia kawaida bila google kuingilia passwords zako,

Kwa chrome mtu akishakuwa na namba yako (kuna watu wana uwezo wa kurenew laini yako) anaweza kuingia kwenye email yako na kuona password, history, n.k. hayo mambo wengine hatutaki.

Kwa brave inabidi ushare session yako na vifaa vingine ili upate passwords, bila hivyo hupati kitu, hakuna mambo ya kutumia email.

pia kumbuka ni brave na mozilla pekee ndio hawauzi taarifa za watumiaji
 
Back
Top Bottom