Weeee........huu mpaka ni mbaya sana kwa fujo za kupigana kwa wafanyabiashara wadogo.........!!Siamini kama imewahi tokea hii.... Huo ni moja ya mpaka ambao uko so peaceful na hao watu hujichanganya kabisa bila tatizo. Ni mpaka ambao mtu aweza vuka kwenda inchi nyingine na Migration wakakuangalia tu wapita. Sad...... I hope watarudi normal.