Baada ya Zambia kuufunga mpaka wa Tunduma na mizigo mingi ya Congo kukawia kufika Congo wajibu mapigo;wawakatia umeme Wazambia!

Hata Sina kinyongo

Senior Member
May 16, 2020
118
280
Inaitwa man to man!


Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa!


Chanzo ni Mimi mwenyewe nipo Mpakani mwa Zambia na Congo.

===
Traders call for solution to Zambia-Tanzania border closure


Zambia’s closure of the Tunduma-Nakonde border with Tanzania in the fight against Covid-19 will deal a heavy blow to the economies of four countries, stakeholders say.

The border closure will affect Tanzania, Zambia, the Democratic Republic of Congo (DRC) and - partly - Zimbabwe, and stakeholders have called for a swift resolution to ensure these countries are not adversely affected.

The Tunduma-Nakonde border crossing point connects Dar es Salaam with Lusaka (Zambia), Lubumbashi (DRC) and, to some extent, Harare in Zimbabwe.

“The closure means that cargo is stranded at the border, including petroleum products that could easily explode. Urgent measures must be taken to address this,” Tanzania Freight Forwarders Association (Taffa) President Edward Urio told The Citizen.

Mr Urio added that goods would also be flooded at the ports as they cannot transport them at the moment.

Advertisement
Data produced at the launching of the convertibility of the Tanzanian shilling and the Zambian kwacha in February this year show that over 70 percent of goods in transit which are imported through Dar es Salaam port are transported across the Tunduma-Nakonde border.

On average, the value of cargo passing through the border annually to destinations in Zambia, DRC and Zimbabwe is estimated at $1.5 billion. But this has now been disrupted following the border closure.

The decision - which became effective on Monday, May 11 - came after Nakonde district in Zambia recorded 76 new Covid-19 cases on May 9, its highest single day increase so far.

Zambian Health Minister Chitalu Chilufya said the border closure would allow for cleaning, disinfection and Covid-19 testing to be conducted in Nakonde, as well as the retraining of immigration staff on how to deal with the entry of persons and goods.

A spot check by The Citizen on Monday revealed that police were patrolling the Zambian side of the border. Shops on the Nakonde side of the border remained closed.

The Nakonde Intercity Bus Station, which links the border town with Zambia’s major urban centres, including Lusaka, was not working as there were no travellers.

Police on the Tanzanian side were informing people regarding the dangers of trying to sneak into Zambia amid the border closure.

The Tanzanian government called for calm, saying it was planning to have all cargo truck drivers tested of Covid-19 and issued with a 14-days clearance certificate before they are allowed to transport goods to other states.

Works, Transport and Communications minister Isack Kamwelwe told The Citizen that his ministry was in talks with the Health ministry to ensuring that cargo truck drivers were tested and cleared when they reach the borders.

“It has been revealed that infections at Nakonde are very high and all precautions must be taken as we look at what can be done to avoid adversely affecting the economy,” he said.

Chief operations officer of Tanzania Association of Transporters, Mr Hussein Wandwi, said Covid-19 has led to huge challenges that have adversely increased the cost of doing business.

“With the decision by Zambia, cost of doing business is rising. The cost for demurrage for people at [the] shipping line is rising especially as we don’t know how long it will take Zambia to reopen the border,” he said.

Mr Wandwi urged the government to find a swift solution.
 
Enzi zile kuna kitabu niliwahi kukisoma "The dogs of war". No comments after that!
 
Inaitwa man to man!


Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa!


Chanzo ni Mimi mwenyewe nipo Mpakani mwa Zambia na Congo.
HAHAHAHAHAHAHA mkuu umenimaliza ulipokitaja chanzo cha habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa man to man!


Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na


Chanzo ni Mimi mwenyewe nipo Mpakani mwa Zambia na Congo.

Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa Zambia wanategemea umeme kutoka Congo? Okay, ngoja tuamini upo mpakani mwa Zambia na Congo na umeme umekatika, umeambiwa kuwa kukatika huko kwa umeme ni deliberate action kutoka Congo?

Unataka kutuambia kuwa Congo wameamua kuwaadhibu Zambia kwa kuwa wamefunga mpaka wao na Tanzania na hivyo "kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa!"?

Hivi nyie watu ni kwa nini mnaamini kuwa kila Mtanzania ni mbumbumbu?
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa Zambia wanategemea umeme kutoka Congo? Okay, ngoja tuamini upo mpakani mwa Zambia na Congo na umeme umekatika, umeambiwa kuwa kukatika huko kwa umeme ni deliberate action kutoka Congo? Unataka kutuambia kuwa Congo wameamua kuwaadhibu Zambia kwa kuwa wamefunga mpaka wao na Tanzania na hivyo "kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa!"?

Hivi nyie watu ni kwa nini mnaamini kuwa kila Mtanzania ni mbumbumbu?
Hayupo aliyekushika bunduki iliuamini.
 
Natamani sana kufika Congo Ila hadith sake zinanitisha
Ngoja nikutishe kidogo endapo sijawahi fika!!

Ukikutana na vile vimbilikimo unadhani utabaki wewe..😅
Kwanza vinakutesa halafu vinakukula kimasihara halafu vinakufanya supu..😂😜

Mpaka hapo unayo hamu..?
Sema nikutandike jengine!
 
Inaitwa man to man!


Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa!


Chanzo ni Mimi mwenyewe nipo Mpakani mwa Zambia na Congo.
Kwani huo umeme ni wa msaada? Route anayotumia Zambia kupitisha mizigo yake kwa sasa ndiyo hiyo hiyo Congo wataitumia.
 
Juzikati yule jamaa wanamuita Parakabudi Magamba alisoma barua ya waziri wa mambo ya nje wa Zambia akieleza kwamba mpaka haujafungwa. Sasa mbona kwako tunapokea taarifa nyingine?

Tumuelewe nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom