Breaking news: Mpaka wa Tunduma wafungwa vurugu kubwa

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,277
hapa tunduma mpaka umefungwa upande wa zambia kutokana na wamachinga wa tz kwenda kuuza bidhaa upande wao,na kuwapiga!hivyo wa machinga wa tz walioko upande wa tz,wakaanza nao kuwapa kipigo wazambia walioko upande wa tz.hivyo wazambi wameamua kufunga mpaka,ffu ndio wamefika,kuna foleni ya kufa m2.
 
Hiyo ni sababu tu. Ukiona kuna vurugu, ujue kuna mzigo mkubwa unavushwa leo.
 
hiyo border imekaa vibaya sana lazima iangaliwe kwa upya la sivyo itatuletea matatizo makubwa
 
Hiyo ni sababu tu. Ukiona kuna vurugu, ujue kuna mzigo mkubwa unavushwa leo.

Alafu hawa wazambia wameyapiga mnada malori mawili ya waTZ kwa bei ya mbuzi Scania 112 kipisi na 124L semi jumla zimeuzwa kwa mnada kwa Sh.22 milioni kwa zote mbili ambapo ni Kwacha 45Milioni kwa kila moja
 
Endelea kutujuza..ni taarifa nyeti za kuhatarisha uhusiano wa nchi mbili endapo hazitadhibitiwa vurugu hizo..
 
Siamini kama imewahi tokea hii.... Huo ni moja ya mpaka ambao uko so peaceful na hao watu hujichanganya kabisa bila tatizo. Ni mpaka ambao mtu aweza vuka kwenda inchi nyingine na Migration wakakuangalia tu wapita. Sad...... I hope watarudi normal.
 
mmmmmh wao waje kuuza ila wenzao wasiende? imekaa vibaya ...hope ffu wataweza kuwatuliza...
 
Inakuaje FFU wafike mda huu ikwa kuna polisi wa uhamiaji muda wote ?Any way hii ni bongo so kila kitu si ni kuangalia hata siku moja hatuta ingia barabarani na kuandamana kwa matendo machafu yanayofanyika ktk nchi hii na tutaendelea kuonewa hivihivi,mara Umeme,Madaktari n.k.......why ?
 
Back
Top Bottom