BREAKING NEWS-Biblia yamuumbua Sharobaro....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Kijana mmoja ali maarufu kwa jina la Sharo muuza jana ameaibika vibaya.Siku moja kabla alimtongoza mwanafunzi ,Sasa jana huyo mwanafunzi akaja na bible wakati wakipga STORY Akampokea Bible..Na kuanza kuifungua page to page.

Yule binti akashangaa mbona huyu jamaa anasema Kitabu kina maandishi mazuri sana umekinunua wapi.?

Kumbe jamaa alikuwa ameigeuza kichwa chini miguu,maandishi ya bible yalikuwa yamegeuzwa.
Hata alikuwa hajui kashika kitabu,Yule binti akagundua kuwa jamaa hajui kusoma.
Source-kimara
 
Jokes na breaking news wapi na wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom