Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Rapper mahili na ex-member wa kundi la East Coast Team Hamis mwinjuma a.k.a Mwana Fa sasa amegeukia upande wa pili wa burudani yan Masumbwi(boxing).
Star huyo wa 'Yalaiti' amepanga kuzichapa na Khalid Chokoraa siku ya jumapili tar 18 pale Mzalendo pub,pambano hilo limeibuka baada ya mwana fa kuhama gym aliyokuwa akifanyia mazoezi na khalid chokoraa ambayo inamilikiwa na Kaseba,pambano hilo litakuwa linaamua kuwa gym ipi ni kali kati ya kaseba na gym mpya ya Fa na kuondoa ubishi wa siku nyingi kati ya mshika suruali (Fa) na mkata viuno (Chokoraa).
Pia kutakuwa na pambano la awali kati ya Hussein Machozi na meneja wa mapacha wa tatu (Dakota) ambao wana bifu la kiukweli baada ya Husein machozi kuzingua kupga show nchini Kenya ambayo iliandaliwa na Dakota,na kuna taarifa zinasema kuwa walishawah kuznguana kchini chini na kukunjana kitaani yoo...