Boxer Mwana Fa

Ujue Jukwaa hili kitambo lilikuwa linanoga sana,so nasoma soma za zamani!!

Nikiona wachawi nawachana,Ujue tupo katika mpango wa kuwafuta wachawi kwenye hili Jukwaa

Alaaah kumbe,!!! Kweli bwana mtu unauliza Fa kama ni mwanaume huu ni uchawi dhahiri.
 
Kuhoji jinsia ya mtu na unamuona kabisa ni rijali na hana scandal yoyote ya kupakatwa huo nao ni UCHAWI
 
Back
Top Bottom