Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,406
Yake maprofesa yamesoma sijui soil.
Na ni primitive kupindukia.
Na ni primitive kupindukia.
Hivi vichwa tajiri vyenye hela kuliko jamhuri yenu nzima vimeikubali technology na kuiona ndio future monetary system afu Mmatumbi mmoja aliesoma pale IFM akapenyezwa BOT na shemeji yake anakanusha na kuiponda Bitcoin akiwa Hana uelewa wa kutosha about block chain technology.
Uafrika ni mzigo saana sometimes.View attachment 1261489View attachment 1261490View attachment 1261488
Soma attachment uielewe mkuu !sidhan: nahisi wamefanya hivi mpaka elimu itolewe ya kutosha kwanza: nikupe mfano, bitcoin kuna kipindi ilivuma sana tz: lakini kuna watu walitumia kutoelewa kwa waafrika wakaanzisha sub bitcoin ambazo zilikua ni utapeli, watu waliwekeza pesa zao sana kipindi 1 coin inaiuzwa $5000, but market ilicrash watu wakaanza kulilia serikali juu ya huu utapeli, wakati ilikua ni ishue ya minning tu
How about govement of china ??Bilgate sio Mungu, although he is the richest man but he cant get everything correct: wewe unamuona bilgate witht the face of microsoft tu lakini bilgate has many failed bussiness:
Naelewa vizuri ninachokiandika, naielewa vizuri Forex, naielewa vizuri hiyo cryptocurrence na makandokando yake, Watanzania bado hatuko tayari kwa mambo haya.Ujui unachokiongea ww ni smart kuliko billagate kwny biashara ?
Kwahiyo marekani china Na ulaya nzima ni wajinga kutoizuia kitu usicho kijua ni kwamba haizuiliki ila nakupa pole kwa kutotambua mapema
Ninapotoa reference ya Billgate nataka upate picha ya taasisi yenye washauri makini na wasomi wa kiwango Cha dunia zaidi ya 500 wanaofanya utafiti na kumshauri boss Billgate aweke hela zake au akaushe.Bilgate sio Mungu, although he is the richest man but he cant get everything correct: wewe unamuona bilgate witht the face of microsoft tu lakini bilgate has many failed bussiness:
Muache huyo kilaza aendelee kubwabwaja soon atashituka 1btc =$1million by December,31,2020 abaki kutoa mimacho yake mekunduHow about govement of china ??
How about japani ?
How about Uk ?
Are they fool ?
Until to allow btc to destroy their economic What you don't know m pesa it's was started like btc ?
Siku utakapoijua utakuwa umechelewa
Ninapotoa reference ya Billgate nataka upate picha ya taasisi yenye washauri makini na wasomi wa kiwango Cha dunia zaidi ya 500 wanaofanya utafiti na kumshauri boss aweke hela zake au akaushe.
Wewe unadhani Bakheressa anatoa hela hovyo hovyo kwa Sasa. Anatoa soon anaposhauriwa na board of directors ya financial advisors. Ndio maana hawezo kufail kiboya tena.
Umesikia kijana wangu?
Kwann una make claming kwa billigate wakati Ni the whole world kuna makampuni ya magari unanunua kwa btc kama uption of paymentshawezi kufail? ivi unadhan baada ya microsoft kuna any biz alianzisha ilienda viral ukitoa excel, word na izi package zake? have u ever heard of traff o data?
Kwann una make claming kwa billigate wakati Ni the whole world kuna makampuni ya magari unanunua kwa btc kama uption of payments
Hakuna shortcut wala miujiza kwenye maisha.Muache huyo kilaza aendelee kubwabwaja soon atashituka 1btc =$1million by December,31,2020 abaki kutoa mimacho yake mekundu
Miezi kadhaa iliuzwa kwa million 16 kwa Bitcoin moja Leo hii. Moja imefika zaidi ya million 20 kwa coin moja na inazidi kupanda.Kiukweli wakubwa mimi mwenyewe nilikuwa nikiizarau sarafu ya bitcoin lakini baada ya kusoma teknolojia iliyo nyuma yake sasa hivi najichanga niwekeze huko hats tsh 1m sio mbaya kwa kipato changu cha kuunga unga
Sure mkuu wapige marufuku matumizi ya simu za mikononi kwani zinatumiwa na wale jamaa wa ile pesa tuma kwenye no.......Wanashindwa vipi ku import rules kutoka nchi zingine.
Kama ambavyo wanaiga technology. Basi kama vipi wapige marufuku matumizi ya simu pia