BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

Ngoja muibiwe!. wote mliomo humu mnakumbuka ya shilingi moja ya mwinyi na shilingi tano iliyokuwa ina picha ya benki kuu?

Jamani Fanyeni kazi muache ndoto za alinecha
 
Toka zimeanza kutumika nimeshika Mara mbili tu hiz coin za sh 500..

Mungu wangu!!!!!!Tanzania yangu inaelekea WAP???

Kama ni kweli zinatumika kutengeneza vito itakuwa ni kashfa kubwa kwa hili taifa
 
Habar wanajf nashangaa kuona serikal yetu ipo kimya kuhusu hili linaloendelea kuhusu hizi sarafu za sh 500 hizi sarafu zimekuwa ni mali kwa watengeneza vidan.Leo hii nimefanya tathimin zimepanda thamani kutoka sh 1000 hadi elfu 5000 kwa anayezihtaji watu wengi wameanza kuzitafta kwa kasi ya ajabu; hivi serikal haikulijua hili kabla ya kuziingza ktk mzunguko? Hii nahsi itakuwa kashfa kubwa zaidi kwa serikal yetu

Duh...kazi kweli kweli!
 
Kabla ya octoba 2015 wataingiza sarafu ya 1000 yenye material ya Gold!
 
nadhani nilikua miongoni mwa watu wa kwanza kuanza kuzitumia hizo koini,ni rahisi kuzipata,nenda bot una kuanzia 250,000 au hata laki moja ya noti unaenda kubadilisha wanakupa koini za hiyo hela.

mwaka jana waliku wanaanzia package ya 10000 zilipotoka tu,kisha wakaongeza dau hadi laki,muda sijaenda ila nadhani bado wako laki moja.

pia nenda kwenye benk kama crdb,stanbic uombe chenji ya mia tano tano za coin unapewa.
 
Ela inapokuwa siyo nyingi kwenye mzunguko Ni vizuri kuwa uchumi utapanda
 
Habar wanajf nashangaa kuona serikal yetu ipo kimya kuhusu hili linaloendelea kuhusu hizi sarafu za sh 500 hizi sarafu zimekuwa ni mali kwa watengeneza vidan.Leo hii nimefanya tathimin zimepanda thamani kutoka sh 1000 hadi elfu 5000 kwa anayezihtaji watu wengi wameanza kuzitafta kwa kasi ya ajabu; hivi serikal haikulijua hili kabla ya kuziingza ktk mzunguko? Hii nahsi itakuwa kashfa kubwa zaidi kwa serikal yetu

mi mwenyewe natafuta zimekuwa adimu sana...
 
ila kwel hii hela ukiikamata mwez huu baada ya miez 3 ndo unauona...
ngoja ipotee tu kwanza huwa naiunganisha na mia mbili namlipa mtu nikijua mia mbili
pia inaongeza uzito mfukoni, mia tano ya bati wapi na wapi
 
Back
Top Bottom