Na wale waliotumia mil 300 kununua bites kama karanga na korosho kwa ajili ya kuwakarimu wagen wanaotembelea kwenye IDARA YAO?hii tanzania bwana
hata mimi nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti
Tanzania ni nchi isiyoitaji misaada ya wahisani ni bora tufungiwe misaada yote kabisa ili tumalizane kiwake kabisa haiwezekani upuuzi huu.
labda hiyo tenda ya kupiga ilichukuliwa na RZ 1 ili kuboresha kiwango cha picha.
may be walikwenda kwenye mini-vacation mwezini
jamani nchii hii ina pesa za kutosha saana kuboresha maisha ya mtanzania lkn kuna watu wachache wanafaudu utajiri wetu. ndo maana tunataka katiba mpya ili tuitoe CCM madarakani na tuweke watu makini huko.
Asante kaka, Picha za Digital Ni garama sana??, kweli BOT Kiboko
Nadhani ni vyema tukapa NAKALA ya Tanzania Daima?