BOT Kutumia Mil 500 kupiga picha za vigogo ilikuaje??

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Wana JF nimesikia BOT imetumi shilingi millioni 500 kwa ajili ya kupiga picha za vigogo wake, Hapa nashindwa kuelewa ni picha gani walizokua wanapiga.

Source: Tanzania Daima Leo
 
Na wale waliotumia mil 300 kununua bites kama karanga na korosho kwa ajili ya kuwakarimu wagen wanaotembelea kwenye IDARA YAO?hii tanzania bwana
 
hata mimi nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti

Tanzania ni nchi isiyoitaji misaada ya wahisani ni bora tufungiwe misaada yote kabisa ili tumalizane kiwake kabisa haiwezekani upuuzi huu.

labda hiyo tenda ya kupiga ilichukuliwa na RZ 1 ili kuboresha kiwango cha picha.
 
Na wale waliotumia mil 300 kununua bites kama karanga na korosho kwa ajili ya kuwakarimu wagen wanaotembelea kwenye IDARA YAO?hii tanzania bwana

Wote wanastahili adhabu ya aina moja but how come Picha zifikie mil 500 kweli??, kwa uchumi gani jamani??

hata mimi nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti

Tanzania ni nchi isiyoitaji misaada ya wahisani ni bora tufungiwe misaada yote kabisa ili tumalizane kiwake kabisa haiwezekani upuuzi huu.

labda hiyo tenda ya kupiga ilichukuliwa na RZ 1 ili kuboresha kiwango cha picha.

Kiukweli hatuhitaji Msaada wowote ule

may be walikwenda kwenye mini-vacation mwezini

Dah, Nilimuona Ndulu Jana Nilishindwa kula, nilikua najisikia Kichefu chefu!
 
furniture 40billions,ukarabati 5billions wakati hospital hazina dawa,vitanda manesi,hawana motisha wa kazi.wana jf mnajua kuwa serikali hutoa just 40bilions kununua madawa kwa mwaka mzima kwa hospitali zote nchini,sasa bot wananunua furniture
 
zitakuwa picha za digito tu hizo.Maana nasikia ni bei mbaya
 
jamani nchii hii ina pesa za kutosha saana kuboresha maisha ya mtanzania lkn kuna watu wachache wanafaudu utajiri wetu. ndo maana tunataka katiba mpya ili tuitoe CCM madarakani na tuweke watu makini huko.
 
Ni kweli kabisa hakuna Umasikini Tanzania hata kidogo!
 
Ndi maana watambamabana milele CCM isitoke madarakani, maana siku itakapotoka segerea na Ukonga kutafurika!
 
Hii Serikali yetu ni MARIMBUKENI WA MATUMIZI, NCHI MASIKINI BT MATUMIZI KM SERIKALI YA KITAJRI, Realy Nashangaa pia!
 
ni gharama ya picha zote zilizopigwa tangu tupate uhuru au napata kizunguzungu kuelewa na picha hizo zinamanufaa gani kwa uchumi hadi zipigwe sielelewe eleweewi assiseee
 
Nadhani ni vyema tukapa NAKALA ya Tanzania Daima kabla ya kuweka ma-comment! ili kufahamu in context mil 500 TZS zimetumikaje kupiga picha?
 
Wana jamvi mnamkumbuka Ketav Ashurit na thread yake ya 'Tanzania Failed Opposition Threatens Political and Fiscal Stability of the Country'? Mnakumbuka jinsi alivyoishambulia cdm? Tatizo la nchi yetu sio upinzani kwa maana ya cdm bali ni ccm na serikali yake, jiulize habari hii imeandikwa na magazeti mangapi ya serikali au ccm kama moja ya habari muhimu kwa nchi yetu! Kuna wanajamvi hapa wameamua kuitetea serikali kwa madudu yote wanayofanya kama faizafoks na wenzake lakini mimi nafikiri juhudi zao zinagonga mwamba maana wanaowatetea wanazidi kujiacha uchi huku wao wakisema hawako uchi, tusipambane sana hapa na wana jamvi wa namna hiyo ila wanazidi kuumbuliwa na madudu ya serikali wanayoitetea
 
Back
Top Bottom