Boss kukufokea

Ivi Boss akikufokea mbele ya staff wenzako ni sahihi kweli?
pole sana,ila kama mwajiri wako ni Muhindi /Wahindi ,Mchina kwao ni jambo la kawaida,ila nachoweza kushauri ni wewe kumsikiliza kwa muda huo bila kumjibu vibaya alafu baadae akishatulia mfuate ofisini kwake na uombee kuongea naye,kisha mueleze kuwa kama unakuwa umekosea jambo unaomba awe anakuelekeza kiustarabu na pia asiwe anakufokea mbele za watu kani ni kudhalilishana na kutengeneza hali ya dharau kwa wafanyakazi wenzako.
 
Kuna sehemu nlifanya kazi part time boss alikua mkorofi huyo mama.....Kuna jamaa alifanya makosa mi nkapiga kimya aiseee aliniwakia mpaka watu wengn wakainamisha vichwa chini
pole sana,ila pia nilichojifunza katika kazi,sisi watanzania wengi kuna wakati tunazingua katika kazi na tunataka kupewa leniency na ukiangalia kiwango cha makosa yaliyofanyika ni makubwa na pengine na yalipaswa kutatuliwa wakati huo huo ambapo jambo limetokea,hivyo kwa mazingira kama hayo lazima Boss afoke
 
pole sana,ila kama mwajiri wako ni Muhindi /Wahindi ,Mchina kwao ni jambo la kawaida,ila nachoweza kushauri ni wewe kumsikilia kwa muda huo bila kumjibu vibaya alafu baadae akishatulia mfuate ofisini kwake na uombee kuongea naye,kisha mueleze kuwa kama unakuwa umekosea jambo unaoba awe anakuelekeza kiustarabu na pia aiswe anakufokea mbele za watu kani ni kudhalilishana na kutengeneza hali ya dharau kwa wafanyakazi wenzako.
Hahaaaa, inategemea ntu na ntu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom